Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,083
- 6,239
Kumbe wakati mwingine unaweza ukamsababisha mwenzi wako akakucheat!Sikia hii,.Mke ni mhasibu wa shirika la umeme tanzania Tanesco,mkoa wa Tabora(sio jina sahihi).Mumemi mwajiriwa serikalini,mume huyu amekua bize sana kiasi kwamba kumpata nyumbuni ni bahati labda usiku kuanzia saa 6 usiku.Kwa maelezo ya mkewe ni kwamba mumewe akifika huwa amechoka sana na wakati mwingine hali chakula ambacho mkewe hujitahidi kukipika hata kama nae huwa bize kiasi gani,amejiwekea utaratibu chakula cha usiku lazima apike yeye.Siku ya tukio mumewe alikua amesafiri kwa muda mwezi na nusu kikazi Dar,siku aliyotakiwa kurudi alimpigia mkewe simu kuwa atapitia Shinyanga kwenye semina itakayochukua siku mbili,lakini alipofika Shinyanga akapewa taarifa kuwa semina imeahirishwa,ikabidi ageuze kurudi Tabora,alipofika Nzega akakumbuka hajamjulisha mkewe dharula iliyojitokeza,akaamua kumpigia mkewe simu,lakini ikawa haipatikani,alifanya hivyo mara kadhaa bila mafanikio,akaamua aende tu,kabla ya kufika nyumbani akamkuta mkewe akifanya ngono na kijana ambae anaishi jirani na pale.Ulitokea mtafaruku watu wenye busara wakalizima zogo lile.Yule bwana akasema hamuitaji mkewe,ila wakashauriwa waende kanisani kutatua mzozo kwani walikua ni watu wazima!Kweli walienda ndipo mkewe yule bwana alipofunguka na kudai mumewe amekua hampi haki ya ndoa na kama akimpa ni mara moja kwa wiki mbili na hata hiyo mara moja siyo ya kuridhisha,alipoulizwa mumewe alikubali lakini akadai ni ubize kazini ndo chanzo!Bahati nzuri padri aliwaelesha makosa yao wakaombana msamaha yakaisha.Sasa huyu mwanamke ana makosa?Inawezekana alikosea kufanyia home lakini chanzo cha tatizo ni mumewe!So kucheat kwingine kuna mashiko!
Njaa zingine ni kuziendekeza Eiyer,Canta,fine mke alifanya kosa sijakataa,lakini linapotokea tatizo kumbuka namna ya kulitatua kwa usahihi huwa anajua yule ambae hajapata tatizo,huyu mama ni sawa na mtu mwenye njaa anaangalia chakula kitakachokua karibu nae,suala la usalama wa hicho chakula linakuja baadae!Lakini kama chakula hicho kama kina madhara yatampata tu,haijalishi kama ilikua no way out,lakini linapokuja suala la chanzo mwenye kujibu ni yule ambae hakumpa chakula mhusika ikapelekea akapata njaa kali iliyomfanya atafute chakula chochote!
KWENYE RED kwa iyo kufanyia sehemu nyingine ndo sio kosa?,, Mume kuchelewa kurudi ndo kosa?,,pamoja na kuchelewa kurudi na kufanya mara moja au mbili kwa week ndo kosa?,msituleze upupu wenu apa,:embarassed2:Kumbe wakati mwingine unaweza ukamsababisha mwenzi wako akakucheat!Sikia hii,.Mke ni mhasibu wa shirika la umeme tanzania Tanesco,mkoa wa Tabora(sio jina sahihi).Mumemi mwajiriwa serikalini,mume huyu amekua bize sana kiasi kwamba kumpata nyumbuni ni bahati labda usiku kuanzia saa 6 usiku.Kwa maelezo ya mkewe ni kwamba mumewe akifika huwa amechoka sana na wakati mwingine hali chakula ambacho mkewe hujitahidi kukipika hata kama nae huwa bize kiasi gani,amejiwekea utaratibu chakula cha usiku lazima apike yeye.Siku ya tukio mumewe alikua amesafiri kwa muda mwezi na nusu kikazi Dar,siku aliyotakiwa kurudi alimpigia mkewe simu kuwa atapitia Shinyanga kwenye semina itakayochukua siku mbili,lakini alipofika Shinyanga akapewa taarifa kuwa semina imeahirishwa,ikabidi ageuze kurudi Tabora,alipofika Nzega akakumbuka hajamjulisha mkewe dharula iliyojitokeza,akaamua kumpigia mkewe simu,lakini ikawa haipatikani,alifanya hivyo mara kadhaa bila mafanikio,akaamua aende tu,kabla ya kufika nyumbani akamkuta mkewe akifanya ngono na kijana ambae anaishi jirani na pale.Ulitokea mtafaruku watu wenye busara wakalizima zogo lile.Yule bwana akasema hamuitaji mkewe,ila wakashauriwa waende kanisani kutatua mzozo kwani walikua ni watu wazima!Kweli walienda ndipo mkewe yule bwana alipofunguka na kudai mumewe amekua hampi haki ya ndoa na kama akimpa ni mara moja kwa wiki mbili na hata hiyo mara moja siyo ya kuridhisha,alipoulizwa mumewe alikubali lakini akadai ni ubize kazini ndo chanzo!Bahati nzuri padri aliwaelesha makosa yao wakaombana msamaha yakaisha.Sasa huyu mwanamke ana makosa?Inawezekana alikosea kufanyia home lakini chanzo cha tatizo ni mumewe!So kucheat kwingine kuna mashiko!
hata ingekuwa mimi ameniomba ushauri,nisingemwambia waachane,ila aamue yeye mwenyewe kama yeye,waongee wao wenyewe,kwani wote ni watu wazima.si angalau yeye anapewa mara 2 kwa wiki,kuna wengine wanapewa mara moja kwa mieziKisukari,assumption hazitakiwi kwenye mambo haya,huwezi kutoa maamuzi kutokana na assumption.Uzinzi ni uzinzi kiongozi wa dini angesema waachane kisa mwanamke amezini bila kuangalia sababu za kuzini angekua hajawasaidi,waliamua kuendelea na maisha baada ya kuonekana kila mmoja anahusika kwenye tatizo!
Huyo mama haikuwa mara ya kwanza kufanya hivyo. Ilikuwa ni kawaida yake tena kwa watu mbalimbali hapo tu ilikuwa ni arobaini. Dawa ni kumtosa moja kwa moja maana hawezi kuacha uzinzi tena ataendelea tu. Hata kama ataacha bwana ataamini vipi tena.
Kumbe wakati mwingine unaweza ukamsababisha mwenzi wako akakucheat!Sikia hii,.Mke ni mhasibu wa shirika la umeme tanzania Tanesco,mkoa wa Tabora(sio jina sahihi).Mumemi mwajiriwa serikalini,mume huyu amekua bize sana kiasi kwamba kumpata nyumbuni ni bahati labda usiku kuanzia saa 6 usiku.Kwa maelezo ya mkewe ni kwamba mumewe akifika huwa amechoka sana na wakati mwingine hali chakula ambacho mkewe hujitahidi kukipika hata kama nae huwa bize kiasi gani,amejiwekea utaratibu chakula cha usiku lazima apike yeye.Siku ya tukio mumewe alikua amesafiri kwa muda mwezi na nusu kikazi Dar,siku aliyotakiwa kurudi alimpigia mkewe simu kuwa atapitia Shinyanga kwenye semina itakayochukua siku mbili,lakini alipofika Shinyanga akapewa taarifa kuwa semina imeahirishwa,ikabidi ageuze kurudi Tabora,alipofika Nzega akakumbuka hajamjulisha mkewe dharula iliyojitokeza,akaamua kumpigia mkewe simu,lakini ikawa haipatikani,alifanya hivyo mara kadhaa bila mafanikio,akaamua aende tu,kabla ya kufika nyumbani akamkuta mkewe akifanya ngono na kijana ambae anaishi jirani na pale.Ulitokea mtafaruku watu wenye busara wakalizima zogo lile.Yule bwana akasema hamuitaji mkewe,ila wakashauriwa waende kanisani kutatua mzozo kwani walikua ni watu wazima!Kweli walienda ndipo mkewe yule bwana alipofunguka na kudai mumewe amekua hampi haki ya ndoa na kama akimpa ni mara moja kwa wiki mbili na hata hiyo mara moja siyo ya kuridhisha,alipoulizwa mumewe alikubali lakini akadai ni ubize kazini ndo chanzo!Bahati nzuri padri aliwaelesha makosa yao wakaombana msamaha yakaisha.Sasa huyu mwanamke ana makosa?Inawezekana alikosea kufanyia home lakini chanzo cha tatizo ni mumewe!So kucheat kwingine kuna mashiko!
Cheating haina justification.
Kabisa kabisa.Cheating haina justification.
saves the guy ryt kabisa....mie wala simlaumu huyo mke. haiwezekani wewe ukawa buzy na kumwacha mkewe bila huduma....huo ni ibinafsi. kama job jako muhimu sana basi oa kazi na muache mke aolewe na wengine.
tho money cn procure many of lifes amonities it certainly is not a substitute for love and care that humans expect in a marriage.
hata ingekuwa mimi ameniomba ushauri,nisingemwambia waachane,ila aamue yeye mwenyewe kama yeye,waongee wao wenyewe,kwani wote ni watu wazima.si angalau yeye anapewa mara 2 kwa wiki,kuna wengine wanapewa mara moja kwa miezi
Kweli walienda ndipo mkewe yule bwana alipofunguka na kudai mumewe amekua hampi haki ya ndoa na kama akimpa ni mara moja kwa wiki mbili na hata hiyo mara moja siyo ya kuridhisha,
hakuna sababu hapo hii ni njia ya halilisha uozo tu,
je ukiongea naye kwamba unataka hivyo atakataa?
je hiyo kutoka nje ya ndoa ndio njia sahihi ya kutatua tatizo hilo?