Nawashukuruni wote mlionishauri, kazi kwangu.
Mhe. Kweli, hii Law uliyoonesha hapo ninashaka kama ilishaingizwa kwenye vitabu , Ngoja niendelee kupekua vifungu labda nitakutana na latest publication zinazozungumzia hii nijuavyo " Like ... repel one another " while " unlike ... attract one another "The "Law of Attraction" inasema "like attract like" .........