Mwanamke huyu alikosea nini tena?

Mwanamke huyu alikosea nini tena?

Taarifa za kisayansi na za utafiti wa kibinafsi hazijathibitisha moja kwa moja kiwango cha IQ yake lakini pia alikua na changamoto nyingi za kisaikolojia, za kifamilia na za kijamii.

Alikua na IQ kubwa ila alikua hana afya ya akili kwa sababu ya changamoto...

Cc: Mahondaw
 
Huyo demu ni moja ya crushes. Nishakula mademu wengi sana kumuwaza yeye

Ila mada yako imekaa kimbeya mbeya sana.

Wewe umefanya nini na IQ yako?
Watu wajinga na wapumbavu hukimbia hoja kijinga na kipumbavu.
 
alikuwa na maarifa ya umalaya tu ya kutembea naviongozi wa kubwa wa USA like jf kenedy n.k,hana chamaana zaidi ya kusifika kwa urembo tu
 
Taarifa za kisayansi na za utafiti wa kibinafsi hazijathibitisha moja kwa moja kiwango cha IQ yake lakini pia alikua na changamoto nyingi za kisaikolojia, za kifamilia na za kijamii.

Alikua na IQ kubwa ila alikua hana afya ya akili kwa sababu ya changamoto...

Cc: Mahondaw
Santo sana kwa mwongozo
 
Back
Top Bottom