Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,165
- 8,959
HAPA NAPIGA na kama kawaida kimoja namwaga chini kuwashukuru wandewaMarilyn Monroe ni moja ya wanawake wanaotajwa kuwa na IQ kubwa kuwahi tokea duniani alikuwa na IQ ya 165 kubwa kuliko ya Albert Eisten ambaye alikuwa na 160.Ila cha ajabu licha ya maarifa makubwa aliyokuwa nayo hakuacha alama yeyote duniani kwa kupitia maarifa yake.
View attachment 3393289Na hii ni moja ya mifano tosha kwamba unaweza kuwa na maarifa makubwa sana ,Na ukashindwa kuyatumia hadi muda unaondoka duniani Naaam