Mwanamke hutumia mbinu gani ili aolewe?

Mwanamke hutumia mbinu gani ili aolewe?

mimba wanategesha ...ila hizo mbinu siku hiz hazisaidiiii utabaki kulea mtoto na atunzo utapewa ila kuoa hakuji kwa nia hiiyo
 
Siku Hizi No Mimba, No Ndoa, nadhani hiyo ndio mbinu kubwa hasa wanayo2mia
 
Siku Hizi No Mimba, No Ndoa, nadhani hiyo ndio mbinu kubwa hasa wanayo2mia

hapo watu wana test mashine bado iko vizuri....maanake usije kuta imeshushwa mara kadhaa mkalaumiana mbele ya safari!!!
 
mimba wanategesha ...ila hizo mbinu siku hiz hazisaidiiii utabaki kulea mtoto na atunzo utapewa ila kuoa hakuji kwa nia hiiyo

Wenye wanakwambia sio kwa sababu nimezaa na ww ndo nikuoe......... Utaishia kulea tu girls take care
 
Hakuna cha mbinu/ndumba kama utayari haupo basi ataendelea kusubiri sanaaa....
 
Mi nimeangalia muda uliopost hii matirio tu baaaas.

Mjadala na uendelee. Maana hautuhusu sisi wazee wa 1947 ambao tuliletewa wake nyumbani na wazazi wetu.

Hahaaa we babu acha mbea...sie wengine walinzi atii
 
Raia wema both Kaka & Dada ni mbinu gani mwanamke anaweza kutumia kushawishi au kushinikiza boyfriend au mchumba wake amuoe?

Just be a really woman who knows what she wants in truthful way..The beauty of inside not outside ..Thanks..
 
Mwanamke ana mbinu nyingi sana ukikusudia lake litakua hakuna shujaa mbele ya mwanamke
 
Back
Top Bottom