Mwanamke hupaswi kusimama Madhabahuni umchafu wewe

Mwanamke hupaswi kusimama Madhabahuni umchafu wewe

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Posts
4,189
Reaction score
3,548
Ukitaka kujua mwili wa mwanamke una mambo yasiyo ya kawaida mwambie mwanamke ambaye yuko kwenye siku zake achume mboga kama vile tembele, majani ya maboga au achume pilipili iliyoko shamanic. Vyote na vingine sijavitaja hapa VITAKAUKA.
Hatuelewi kuna uhusiano gani kisayansi na hali aliyonayo mwanamke huyo na mmea.

Sasa katika uumbaji Mungu alimuumba mwanaume kutoka mavumbini. Mwanamke hakuumbwa kutoka mavumbini kama alivyoumbwa mwanaume. Mamlaka makubwa katika maeneo mbalimbali amepewa mwanaume siyo mwanamke. Mwanamke anatakiwa kumsaidia mwanaume na kulea familia na siyo vinginevyo.
Mwanamke kusimama Madhabahuni ni kunajisi eneo takatifu la Mwenyezi Mungu. Muda wote maumbile ya mwanamke yanatota. Ni mchafu muda wote. Kinachofanyika leo hii ni fikra potofu duniani eti kusema mwanamke ni sawa na mwanaume, siyo kweli mwanamke hayuko sawa na mwanaume.
Viongozi wa dini fanyeni kila linalowezekana kutenga mahali ambapo mtapenda waumini hasa wa kike kuweza kusimama na kutoa mawazo yao wawapo kanisani. Maeneo hayo yasivuke mstari wa Madhabahu.
Jana Mh fulani aliingilia mambo ya dini nadhani wengi hamjagundua nini kusudio ya kauli zake. Alitaka kesho yake kuwe na headlines za kiongozi wa siasa kuingilia dini wengi waliona kama kafanya kichekesho tu lakini alilenga kuchokonoa kwa makusudi.

Eneo Takatifu lisiingiliwe kabisa na Mwanamke awaye yeyote kwani muda wote ANATOTA UCHAFU.
 
Screenshot_20250512-140422.png
 
Ni kweli aisee, ila ukubali kwamba na wewe ni moja ya uchafu uliotoka kwenye uchi wa huyo mwanamke 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom