Mwanamke huna mvuto, maringo ya nini ukitongozwa?

Mwanamke huna mvuto, maringo ya nini ukitongozwa?

Duuh hadi wanaume siku hizi mnatafuta wanawake wenye hela?? Kweli vyuma vimekaza!!

Hiyo ni falsafa yangu tokea zamani hata JPM hajawaza kuchukua fomu.

Mimi siwezi changanya damu na masikini
 
Hasira si Sawa wewe jamaa, Kumbuka hakujiumba yeye,Kwa article yako unamkosoa Mungu kwamba hajui kuumba!!!!!!
 
Duuh kwahiyo hapo ulipo una mwanamke uliyemkuta bikira na akiwa na hela zake??

Nilikupa namba PM unifahamu vizuri naona unauliza maswali ya kipuuzi humu.

Muda wa kukujibu sina mimi.
 
We confidence na akil za mwanamke zitakupeleka wap...?? we chukua mwanamke n mwanamke uje utuharbie watoto uone kama tutakuelewa
Hivi wanaume wanajiangalia kwenye kioo kweli? Eti Mwanaume anakuwa handsome na pesa halaf mwanamke sura yake ndo kauli ya mwisho ili watoto wasitoke vibaya. Ina maana hio genetics za wanaume hazina mchango wake? Ndio maana mnaharibu watoto wa kike.
 
Pia siku nyingine usitongoze ukiwa na nyege utakuja kunishukuru badae
 
Ungekubaliwaa napo ungekuja na uzii hapa kuwa mademu niwepesi maharage ya mbeyaa Kama kakukataa ujuee na wewe hujawa na viwango anavyovitaka hujamvutia huendaa nayeye anawaambia mashost zakee kunaa mwanaume kanitongozaa mbayaaa huyoooo
Hahah
 
Sasa si ukatongoze mwenye mvuto? Nani alikudanganya KE wasio na mvuto wanagawa papuchi kama NJUGU!? 😳😳😳

Habari wakuu

Mnajua kuna wanawake wanashangaza na kustaajabisha sana asee

Yaani unakuta mwanamke hana mvuto wowote na pia hana hata wanaomtongoza kwa sababu ya mapungufu yake lakini amejaa maringo ukimsemesha na kumtongoza

Wanaume tunahuruma sana, mademu wabovu tunawatongoza kuwapa kampani tu na kuwaondolea ile hali ya kijiona si kitu kwa sababu tu hawana mvuto na hawatongozwi, unataka kuwasaidia unaishia kuchezea maneno ya shombo as if unaitaka ya wema sepetu aseeeee

Unakuta mwanamke Titi ni kubwa balaa limelala, hips hana, sura ya baba yake, umri umegonga 30
Mwanaume Kajitoa muhanga kukutongoza bado unaleta
nyodo Dada angu unaitaji maombi Aise
 
Kwa hiyo wasio na mvuto wawe wanakubali tu kila mwanaume?. Wapo wanaume wanaowakubali lakini sio wewe ksbb huna mvuto
 
Jinsia ya kike maringo ni asili yao hata kama umkute demu hana mvuto wa sura lkn lzm awe nq maringo mkuu so usikwazike cha msingi kuvipangua vikwazo ujaribu kumu win moyo wake
 
Sasa si ukatongoze mwenye mvuto? Nani alikudanganya KE wasio na mvuto wanagawa papuchi kama NJUGU!? [emoji15][emoji15][emoji15]
Hahahahahaha

Huyo jamaa lofa sana.

Kwamba mwanamke akiwa mbaya awe anagawa tu? Haaaaah! Aiseee
 
  • Kicheko
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom