Mwanamke huna mvuto, maringo ya nini ukitongozwa?

Mwanamke huna mvuto, maringo ya nini ukitongozwa?

Habari wakuu

Mnajua kuna wanawake wanashangaza na kustaajabisha sana asee

Yaani unakuta mwanamke hana mvuto wowote na pia hana hata wanaomtongoza kwa sababu ya mapungufu yake lakini amejaa maringo ukimsemesha na kumtongoza

Wanaume tunahuruma sana, mademu wabovu tunawatongoza kuwapa kampani tu na kuwaondolea ile hali ya kijiona si kitu kwa sababu tu hawana mvuto na hawatongozwi, unataka kuwasaidia unaishia kuchezea maneno ya shombo as if unaitaka ya wema sepetu aseeeee

Unakuta mwanamke Titi ni kubwa balaa limelala, hips hana, sura ya baba yake, umri umegonga 30
Mwanaume Kajitoa muhanga kukutongoza bado unaleta
nyodo Dada angu unaitaji maombi Aise
Umenikumbusha mahubiri ya leo Kanisani, mama mmoja alisema alivyofikia umri wa miaka 28 hajaolewa, alihisi kuchanganyikiwa!

Bibi mmoja akamjibu bora hata wewe, sisi kanisani kwetu alikuwepo dada mrembo hajaolewa hadi Watu wa Kanisani wakawa wanamuita Fungu la kumi.
 
Ukimtongoza akakukataa kubali kuwa kakataa, sio sababu hajakuvutia basi ndo akukubali sababu umemuonea huruma!!

Wakati unamtongoza sidhani kama ulimwambia unampa kampani sababu ya sura ya babake!!

Lakini, heshimu maamuzi ya mtu, usikejeli uumbaji wa Mungu. Kufanana na baba zetu isiwe tabu!
Well said..

"Ajafa, hajaumbika"
 
dubwasha pekee ndo huwapa maringo wadada wote, huo uzur ni mengneyo mkuu
 
dubwasha ndo uzur wa mwanamke na pesa ndo uzur wa mwanaume hayo mengne ni mapambo mkuu
 
Kuna mmoja nme muomba no.leo kwenye gari..aka nijibu sio kirahisi ivyo [emoji23][emoji23]kumbe tuna shuka kituo kimoja bhana dah .. siku amini kama ndo nlicho kua nataka kuchukua. binti mbovu mavazi adi mwili. sura kdgo kapewa
 
Najua mkuu ulikuwa unatafuta sehemu ya kupunguzia Lita za maji ila nikwambia tu lazima aringe whether ni zombie or not


Kwa sababu anajua kakuvutia
 
We confidence na akil za mwanamke zitakupeleka wap...?? we chukua mwanamke n mwanamke uje utuharbie watoto uone kama tutakuelewa
Mimi napenda mwanamke mbaya aliye na confidence na akili kuliko mzuri anayelinga wakati kichawni ni funza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom