[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi ni mmama naelekea ubibi dear vipi wewe?
Hatuwezi kuelewana,ntakupa mfano kwanini wanawake wa kinaejeria hawana sura wala shape nzuri kushinda wabongo lakini wana mafanikio kuwashinda iwe kwenye movie,music,biashara,Hapo kwenye kuharibu watoto nimebaki nachekaaaaaa tu.We confidence na akil za mwanamke zitakupeleka wap...?? we chukua mwanamke n mwanamke uje utuharbie watoto uone kama tutakuelewa
Unakuta mwanamke Titi ni kubwa balaa limelala, hips hana, sura ya baba yake, umri umegonga 30
Ukimtongoza akakukataa kubali kuwa kakataa, sio sababu hajakuvutia basi ndo akukubali sababu umemuonea huruma!!
Wakati unamtongoza sidhani kama ulimwambia unampa kampani sababu ya sura ya babake!!
Lakini, heshimu maamuzi ya mtu, usikejeli uumbaji wa Mungu. Kufanana na baba zetu isiwe tabu!
Wakumsamehe bure tuu...Eti anasema mwanamke hana mvuto, ulimtongozaje eti, huyu jamaa hajitambui huyu.
Endea kuwaza hivyo hivyoMmepewa bure toeni bure
Dah! Basi, hongera sana.Mimi ni mmama naelekea ubibi dear vipi wewe?
| Wako wengi mkuu Wanaopatikana humu ndio haohao tunaishi nao mtaani
|
Hihiii, asante rafiki SK. Morning!Dah! Basi, hongera sana.
Ukimtongoza akakukataa kubali kuwa kakataa, sio sababu hajakuvutia basi ndo akukubali sababu umemuonea huruma!!
Wakati unamtongoza sidhani kama ulimwambia unampa kampani sababu ya sura ya babake!!
Lakini, heshimu maamuzi ya mtu, usikejeli uumbaji wa Mungu. Kufanana na baba zetu isiwe tabu!
Kabisaa jamani, akubali tuu kakataliwa!Yani umenena, huyo ni sizitaki mbichi izi. Mpk kamfata ujue kuna kitu kimemvutia tu kwa huyo dada.
Kufanana na baba zetu sio chanzo cha kutunanga...ye mwnyw ukute sura mbovu nani amkubali
Kabisa umenena, kwanini wanatusema jmn wenye sura za baba zetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najua mkuu ulikuwa unatafuta sehemu ya kupunguzia Lita za maji ila nikwambia tu lazima aringe whether ni zombie or not
Kwa sababu anajua kakuvutia
Kabisa umenena, kwanini wanatusema jmn wenye sura za baba zetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endea kuwaza hivyo hivyo
Waache tuu, hawajui tu wanakosa vzrWawa ache kabisa hawajui kuna watu wamekufa wameoza juu yenu