Kivumah
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,427
- 1,060
MWANAMAMA Mikel Ruffinelli mkazi wa Los Angeles, Marekani, amedhihirisha kuwa ndiye mwanamke mwenye hips kubwa zaidi duniani akiwa na mzunguko wa zaidi ya futi 8.
Mama huyu wa watoto wanne amekuwa akipata shida kupitisha umbile lake la inchi 100 kwenye mlango na anahitaji nafasi ya watu wawili kwenye ndege.
Mama huyu wa watoto wanne amekuwa akipata shida kupitisha umbile lake la inchi 100 kwenye mlango na anahitaji nafasi ya watu wawili kwenye ndege.
Mikel mwenye umri wa miaka 39 anaendesha magari makubwa kwa vile mwili wake mwenye kilo 190 hauwezi kukaa kwenye magari madogo na anahitaji kiti chenye uimara wa ziada nyumbani.