Mwanamke hatakiwi kujieleza mahusiano yake?

Mwanamke hatakiwi kujieleza mahusiano yake?

Wewe ni kahaba. Halafu unajidai unajua ila kumbe hujui yaani pia wewe ni mpumbavu kwa hiyo ukiitwa kahaba pia ni sawa tu maana hata hujielewi.
 
Mie kwa mawazo yngu watanzania wa kizazi hiki imekuwa mtihani sna kuvumilia khs mtu mwingine kufikiria tofauti na ww mtihani mkubwa kizazi chetu ni kuvumiliana khs mawazo na mitazamo tofauti ukijifunza kuheshim mawazo na mitazamo ya wengine basi kila kitu kitakwenda Sawa kwangu mie ni HAKI YENU kuleta uzi wa aina yyote...

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo Ni ndoa na Mimi Sina shida ya mtu kuoa wake wanne ...

Tatizo lipo wapi mwanamke kuzungumzia mahusiano yake...hata Kama Ni ya mtu mmoja..bado atakuwa branded na insulted.... Ina maana kuwa mwanamke TU hutakiwi au HUNA Haki ya kusema just because you are a women
Ndo hivyo yaan mwanamke hutakiw uwe na mahusiano na Wanaume lukuki ingekua Haina ubaya mngeruhisiwa kuolewa na Wanaume wanne kwa wakat mmoja
 
Ndo hivyo yaan mwanamke hutakiw uwe na mahusiano na Wanaume lukuki ingekua Haina ubaya mngeruhisiwa kuolewa na Wanaume wanne kwa wakat mmoja
Je mwanaume.karuhusiwa kuwa na wanawake lukuki..au karuhusiwa kuo wanawake lukuki...Akija mwanaume hapa akajisifia anawake wengi Kama Doctor mwaka hamna shida..

Lakini kuhadithia Kulana kimasihara Ni sawa kwa mwanaume kwavipi...? Kwanini yule uliemla kimasihara Ukasema Ana bwawa la mtera akija akasema mcheza kamari anakibamia..itakua shida Moja kuubwa?
 
Hi mada nimeileta nikijua kuwa Wanaume na wanawake hawapo sawa.. wanaume kwao kufanya zinaaa hushangiliwa na KUSIFIWA.

Uzinzi Ni Uzinzi...ila Uzinzi mwanamke Ni Mbaya zaidi Kuliko uzinzi kwa mwanaume.

Double standards haiwezi kuja kuisha..Akifanya mwanaume kitu jamII humuelewa au humtetea au hujaribu kumuelewa..Lakini mwanamke akifanya hayo hayo HALI HUA TOFAUTI SANA.

WOMEN BEWARE.
 
Nikija nauzi nikisema nimetembea na wanaume ...kadhaaa...nitaitwa Kahaba..Malaya..najiuza..bwawa..Nk
Akija mwanaume na kitu hicho hicho..HUA wanakuja Watu kuunga mkono na kuweka uzoefu wao...

Kwanini.
Tatizo mwanaume anafanya na mwanamke anafanywa....anyway tukomae na tumbo
 
Ni kweli ulichosema katika jamii nyingi kiafrika mwanamke anatakiwa awe so reserved ,tabia nzuri sana sio mapepe kwa wanaume ndomana polygamy inazoeleka ila sio polyandry the same way hizo fikra wanaJF tunazo. Halafu kumbuka hata uzi wa wala tunda kimasihara waliotoa experience ni wanaume tu except 1/2 ndo KE hivyo kubadili fikra za watu ni ngumu sana
 
Nikija nauzi nikisema nimetembea na wanaume ...kadhaaa...nitaitwa Kahaba..Malaya..najiuza..bwawa..Nk
Akija mwanaume na kitu hicho hicho..HUA wanakuja Watu kuunga mkono na kuweka uzoefu wao...

Kwanini.
Ukisema nimelala na wapenzi kadhaa unatukanwa malaya, ukisema sijalala na yeyote au nimelala na mmoja tu pia utatukanwa eti mnafiki. Cha muhimu ni kuacha kuzungumzia sexual life yako utakuwa salama
 
Ni ukosefu wa hekima na busara tu. ME ndio wachangiaji wakuu wa KE kuyumba. Kutumia lugha ngumu katika kumuongelea mwanamke vibaya ni kukosa adabu na tabia mbaya.
 
Hiyo ni kanuni ya asili mwanamke lazima awemsili kuanzia ndani hadi nje.
Mf. Mtoto mdogo wa kiume akiwa uchi haishangazi sana kama kumkuta mtoto mdogo wa kike akiwa uchi.
Sema sahivi mmekuwa vichwa ngumu mna laana na asili ya ulimwengu,
Kutembea uchi nyie.
 
Ukisema nimelala na wapenzi kadhaa unatukanwa malaya, ukisema sijalala na yeyote au nimelala na mmoja tu pia utatukanwa eti mnafiki. Cha muhimu ni kuacha kuzungumzia sexual life yako utakuwa salama
Mimi sizungumzii sexual.life yangu...kuna.mtu alileta bandiko.hapa leo la.kutongoza wanaume...Watu walireact vibaya..mpaka.akafuta ule Uzi..hicho ndo kilipelekea Mimi kuanzisha huu Uzi.
 
Back
Top Bottom