Mwanamke hatakiwi kujieleza mahusiano yake?

Mwanamke hatakiwi kujieleza mahusiano yake?

Kuna mkuu kaja na bandiko kuwa alimtongoza mwanaume...na wapo fresh...Ila Watu wametusi Vibaya mno..

Nashangaaa Kwanini?... Akija mwanamke alilalamika mwanaume kumcheat na kumuumiza...mnamwambia Vumilia tu na Tena asikasirike...

Akija mwanaume na bandiko Hilo Hilo...PIGA CHINI KAHABA HUYO..
Ndo nikasema inategemea mtu amechukuliaje, nadhani hata comment si zote wanapondea bali kunawanaotoa ushauri mzuri.
 
Mwanaume ni 'polygamist in nature' ila mwanamke hana hiyo sifa labda baadhi yao tu.
 
mwanaume swala la kuchit ni kawaida kaumbwa nalo ila mwanamke toka enz sio huruka yake kutembea na me weng tofaut na mme wake au mpenz mmoja, in short ke hajaumbwa hivyo ila me yupo hivyo toka enzi,
HILI swala la KUCHEAT mnalihalalisha kwa matamanio yenu tu...Kwamba lazima.UCHEAT eti ndo ukamilike uanaume si kweli...
Kama unashindwa mke mmoja oA wa pili..na watatu...SIO kufanya uzinifu eti ndo Asili yenu..

Ina maana mwanaume Hana uwezo wa kujizuia?
 
Hivi kwa Nini mwanamke akianshiza bandiko.kuhusu mahusiano yako na akaelezea kuhusu Mambo ya faragha...huwa mnamua attack Sana... prostitute Mara Kahaba Mara hivi Mara vile..

Lakini akianzisha Me... hua anapata wafuasi wengi wakuelezea experience Zao.

Kwani hao mnaofanya nao Ni wanyama?
Kwanini kwa Ke iwe Shida na kwa Me iwe Pongezi na kusheherekewa Tena WAKISIFIANA ... KABISAA ...WHY?
Subiri siku itakapotangazwa NDOA YA WANAUME WENGI utaungwa mkono.
Kama haitatokea ni jibu tosha kwamba majina hayo yatakuhusu.
 
Subiri siku itakapotangazwa NDOA YA WANAUME WENGI utaungwa mkono.
Kama haitatokea ni jibu tosha kwamba majina hayo yatakuhusu.
Mwanaume hatukatai kuwa na wake wengi..Tena Mimi naona ni sawa kabisa..

Sasa Mambo ya mnakula Kimasihara, mnalala kila mtu na kila kitu...ALAFU MNAJISIFIA...

Huyo mnaelala nae hatakiwi kusema kuwa nikikutana na kibamia hicho balaa
Akisema hivyo KAHABA...BWAWA NK.

Kama mnahaki ya kujisifia huo uchafu wenu..Kwanini Hawa mnaofanya nao wasiseme kitu?
 
Funguo inayofungua makufuli mengi ni master key.

Kufuli linalofunguliwa na funguo nyingi ni shitty lock.
 
Nikija nauzi nikisema nimetembea na wanaume ...kadhaaa...nitaitwa Kahaba..Malaya..najiuza..bwawa..Nk
Akija mwanaume na kitu hicho hicho..HUA wanakuja Watu kuunga mkono na kuweka uzoefu wao...

Kwanini.
Hua tunamuiga mfalme suleimani , maana alikua na wake elfu 70
 
Si tunajisigu kugegeda - huo ni urijali
Nyie mkijisifu kugegedwa - huo ni uchangu
 
Tulia we hta vtabu vya din vinaruhusu Wanaume kuowa wake wanne ila mwanamke haruhusiwi
Hiyo Ni ndoa na Mimi Sina shida ya mtu kuoa wake wanne ...

Tatizo lipo wapi mwanamke kuzungumzia mahusiano yake...hata Kama Ni ya mtu mmoja..bado atakuwa branded na insulted.... Ina maana kuwa mwanamke TU hutakiwi au HUNA Haki ya kusema just because you are a women
 
Na akija Bikra hapa akasema yeye Ni Bikra...bado atasemwa vibaya. Unambania Nani..Nani aoe hajatest..Nani auziwe gunia kwenye mbuzi..[emoji847].. nk
 
Back
Top Bottom