Hivi kwa Nini mwanamke akianshiza bandiko.kuhusu mahusiano yako na akaelezea kuhusu Mambo ya faragha...huwa mnamua attack Sana... prostitute Mara Kahaba Mara hivi Mara vile..
Lakini akianzisha Me... hua anapata wafuasi wengi wakuelezea experience Zao.
Kwani hao mnaofanya nao Ni wanyama?
Kwanini kwa Ke iwe Shida na kwa Me iwe Pongezi na kusheherekewa Tena WAKISIFIANA ... KABISAA ...WHY?
Conclusion baada ya kusoma Comments
Hi mada nimeileta nikijua kuwa Wanaume na wanawake hawapo sawa.. wanaume kwao kufanya zinaaa hushangiliwa na KUSIFIWA.
Uzinzi Ni Uzinzi...ila Uzinzi mwanamke Ni Mbaya zaidi Kuliko uzinzi kwa mwanaume.
Double standards haiwezi kuja kuisha..Akifanya mwanaume kitu jamII humuelewa au humtetea au hujaribu kumuelewa..Lakini mwanamke akifanya hayo hayo HALI HUA TOFAUTI SANA.
WOMEN BEWARE.
Simple answer, the centre of relationship iko kwa mwanamke, mwanamke ana mambo mengi Sana duniani, hata anavyolichambua Jambo analichambua kwa angle ambazo mwanaume hawezi kwenda.
Ustaarabu wa dunia hii, unaangaliwa Sana kwenye angle ya mwanamke pia, nchi ambazo hazijastaarabika, angalia wanawake wake wanavyobehave, wanaume wake pia inakuwa worse, nchi ambazo wanawake wake wanajitambua na wanajua nafasi zao katika dunia hii, hazina hata mavurugu yasiyo na maana.
Mwisho, mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe, sehemu ambayo hakuna faida ya uwekezaji, hakuna mwekezaji anaweza kuwekeza, wekeza kwa msichana and then mwanamke faida yake katika Jamii utaiona.
Familia ambayo Kuna discipline ya watoto, watoto Wana adabu wanapendwa na watu wote ni mfano wa kuigwa katika Jamii, muangalie mama yao utapata majibu yote ya maswali yako.
Mwisho, uwekezaji kwa watoto wa kiume na kike upo, unatofautina scope yake kutokana na Majukumu ya mwanamke na mwanaume katika familia na Jamii kwa ujumla. Mwanaume ni kiongozi lakini hafanyi vitu vingi kama mwanamke. Jikumbushe jando na unyago. Na jando hebu liangalie katika Jamii ya wagugaji na wawindaji ndio utapata picha.
Tuishie hapo Kwanza.