Anaetakiwa kunya ni kuku tu bata yake asili ni kuhara tu.
Mi ni mkristo kwa imani
Baada ya kumfikisha kwa Yesu yule mwanamke mzinzi kulingana sheria zao wakati huo, (kupondwa mawe hadi kifo) Yesu aliinama chini kaandika ambaye hajawahi kuzini awe wa kwanza kumpiga yule mwanamke yaani ile kumaliza kuandika na kuinua uso hakuna mtu hata 1 miongoni mwa waliompeleka , Yesu akamwambia yule mwanamke enenda zako na usitende dhambi tena.
Mpaka hapo tu asili ipo upande wa mwanaume toka enzi na enzi.
Ushauri wangu kwako, ukitaka uishi kwenye ndoa salama na vizuri usifanye kila alifanyalo mwanaume, kama ambavyo huwezi mwanamke olewa na wanaume wawili au zaidi kwa wakati 1, japo mwanaume kwa asili yake anaweza kuwa na mke zaidi ya 1 kwa wakati 1 (iwe kimila au kidini siku hizi ugumu wa maisha na kustarabika hayo yanafanyika kwa kificho ndo hiyo michepuko) na kama ujuavyo hakuna mwanaume hakosi michepuko labda ukata uzidi.
Maana'angu ni hii, mwanaume hata iweje akiwa na mchepuko kumgundua itakuchukua muda na kwenye familia mambo yanaenda fresh kabisa tu.
Ila sasa mwanamke aliye olewa akiwa na mchepuko huitaji degree kumgundua, ni haraka na upesi humo ndani keshabadilika, hasa majibu yake kwa mume na mienendo yake na mambo mengine., lazima tu uhisi mwenzangu huyu mbona simuelewi japo hata kwa mwanaume ipo hiyo hali ila ni kama nilivyosema inachukua muda.
Ko mleta mada usilinganishe baadhi ya mambo yakifanywa na mke yanachukiliwa ndivyo sivyo kama akifanya mwanaume, tumeumbwa kiutofati toka kama zilivyo jinsia zetu.
Mwisho kabisa achana na hizi mambo za HAKI SAWA.