Hapana Dada yangu.My kaka nawe unapiga??
a.k.a yuroootunapigwa na hela
chapaaaaa.k.a yurooo
Wanawake wa miaka gani wasipigwe?Dr nadhani unajidanganya kufananisha wanawake hawa wa leo na mama zetu!
Hawa wa leo bila ngumi mbili-tatu mambo ndani hayaendi
Sasa si uachike kuliko huo mzigo ulio nao wa kuigiza maisha...siku my man alivyonyanyua mkono na kunipiga ni siku iliyobadilisha kila kitu kwenye maisha yetu, sijui namuonaje hata aongee kitu kinapita kulia kinatokea kushoto, nimemshusha thamani kabisa, tunaishi tu siku ziende naigiza kila kitu and i am not committed anymore.
ewe mwanaume usimpige mkeo na ukimpiga akakaa kimya usiamini umeshinda, unaharibu sehemu kubwa sana ya mahusiano yenu.
Dot com ladies usipo mpiga unakaribisha matatizo makubwa ndani!Mpe mtama mmoja maridadi watoto wasipokuwepo home,believe me inasaidia sana kutuliza ndoaWa leo ni wale waliozaliwa miaka ipi?
...wengine humu wanaplay smart waonekane magentlemen!..wana mingo zao!Wanaume wenye mitazamo kama hii huwa ni mazoba... unakuta home yupoyupo tu.
Mume wangu nioshee hiyo sufuria, anaosha. Kaniletee chumvi analeta, fua chupi yangu anafua...kisa mwanamke. Ujinga mtupu
Uko sahihi, mwanaume kumpiga mkeo ni kuishiwa maarifa, zipo fimbo nyingi sahihi za kumpiga mwanamke, tumia akili na hekima kumwelimisha kile usicho kipenda, sometime mchape sana kwa ile fimbo ya kiutu uzima. Usitumie rungu yy si nyoka alaaa!Mwanaume halisi kamwe hawezi kumuumiza mwanamke. Kuwa mwangalifu pindi unapomliza mwanamke. Kwasababu Mungu anahesabu machozi yake.Mwanamke alitokana na ubavu wa mwanaume. Si kwenye miguu yake ili kukanyagwa. Sio kichwa chake ili kuwa juu yake. Lakini kwenye upande wake ili kuwa sawa. Chini ya mkono ili alindwe. Na baada ya moyo ili apendwe.