Mwanamke hapigwi

Mwanamke hapigwi

Mwanaume halisi kamwe hawezi kumuumiza mwanamke. Kuwa mwangalifu pindi unapomliza mwanamke. Kwasababu Mungu anahesabu machozi yake.Mwanamke alitokana na ubavu wa mwanaume. Si kwenye miguu yake ili kukanyagwa. Sio kichwa chake ili kuwa juu yake. Lakini kwenye upande wake ili kuwa sawa. Chini ya mkono ili alindwe. Na baada ya moyo ili apendwe.
ebanaee mimi naunga mkono mwanaume kumpiga mwanamke ni jambo la ajabu, na ni udhaifu mkubwa, ila hizo blah blah nyingine za ubavu, sijui ,moyo au kichwa endelea kutafakari vizuri utapata jibu sahihi
m treat mwanamke kutokana na huyo mwanamke alivyo, wewe ukikariri hivyo utajakutana na wanawake waliokuzidi ujanja na wanajua kuigiza wewe useme eti utamlinda, utampenda utamuweka muwe sawa
UTAUMIA
 
Mambo yamebadilika sana aisee. Hawa mabinti wa siku hizi tabu sana. Ila kumpiga nayo haipendezi pia
 
''...Kwasababu Mungu anahesabu machozi yake...''
Mungu yupi huyo anayejishughulisha na kuhesabu machozi ya wanawake?!
 
Mwanaume halisi kamwe hawezi kumuumiza mwanamke. Kuwa mwangalifu pindi unapomliza mwanamke. Kwasababu Mungu anahesabu machozi yake.Mwanamke alitokana na ubavu wa mwanaume. Si kwenye miguu yake ili kukanyagwa. Sio kichwa chake ili kuwa juu yake. Lakini kwenye upande wake ili kuwa sawa. Chini ya mkono ili alindwe. Na baada ya moyo ili apendwe.

Siungi mkono wanawake kupigwa, ila hii kauli

''...Kwasababu Mungu anahesabu machozi yake...''
Mungu yupi huyo anayejishughulisha na kuhesabu machozi ya wanawake?!
 
siku my man alivyonyanyua mkono na kunipiga ni siku iliyobadilisha kila kitu kwenye maisha yetu, sijui namuonaje hata aongee kitu kinapita kulia kinatokea kushoto, nimemshusha thamani kabisa, tunaishi tu siku ziende naigiza kila kitu and i am not committed anymore.
ewe mwanaume usimpige mkeo na ukimpiga akakaa kimya usiamini umeshinda, unaharibu sehemu kubwa sana ya mahusiano yenu.
wewe mwanamke wewe muda siyo mrefu unamwua uyo jamaa kama siyo kwa sumu utamwagia maji ya moto akiwa amelala
 
wewe mwanamke wewe muda siyo mrefu unamwua uyo jamaa kama siyo kwa sumu utamwagia maji ya moto akiwa amelala
siwezi kumwua ila namchuna mpaka mwisho yaani nshasema simsaidii chochote hata aumwe atauguzwa na ndugu zake mie aka nipo kwa ajili ya raha tu shida zake hazinihusu.
 
siwezi kumwua ila namchuna mpaka mwisho yaani nshasema simsaidii chochote hata aumwe atauguzwa na ndugu zake mie aka nipo kwa ajili ya raha tu shida zake hazinihusu.
ndo mana nikakuambia hana maisha marefu akiendelea kuwa na wewe
 
Siungi mkono wanawake kupigwa, ila hii kauli

''...Kwasababu Mungu anahesabu machozi yake...''
Mungu yupi huyo anayejishughulisha na kuhesabu machozi ya wanawake?!
hahaaa, mleta mada naona alikua anaongea kihisia zaidi, kuliko kiuhalisia
 
Kua uyaone..Kuna kabila moja ukanda wa ziwa V nadhani ndio wanaongoza kuwapiga wake zao na wao wanawake wanalazimisha kipigo..Na kwa hii agenda ya haki sawa duh!! mwanamke akikupanda kichwani ni makofi akili irudi..kwa upande wangu mwanamke anayejielewa mwanaume hata mgusa..Mwanaume ndio kichwa mwanamke sijui ndio shingo au kiwiliwili anatakiwa ajue nafasi yake kwenye nyumba na pia mwanaume..
Bibilia imeandika usimnyime mtoto fimbo..
Mwanamke asinyimwe makofi akienda nje ya mstari..
 
Chadema ilikuwepo kabla ya Lowassa kuhama CCM, na tena ilikuwa ni chama imara, pendwa na chenye nguvu na ushawishi wa kutosha, hasa katika miji mikubwa ya Tanzania.

Hata Ukawa iliasisiswa kabla ya Lowassa kukatwa na kuhamia CDM. Kwa misingi hii hamna mtu anayeweza kuja na takwimu halisia eti bila Lowassa mambo yangekuwaje UKAWA?? Kama yupo azilete.

Hoja yangu ni hii;
Lowassa mpaka sasa amegeuza kila aina ya mafanikio ya UKAWA kuwa yake binafsi na kujinasibu kuwa yeye ndo ameyaleta. Amekuwa akijinasibu kwa kauli za kujisifia binafsi kana kwamba Chadema na Ukawa havikuepo na yeye ndo alikuja kiuasisi Chadema na muungano wa Ukawa.

Kauli za Lowassa zinakiweka chama mikononi mwake, na si mikononi mwa wanachama waliosumbuka kukijenga chama hiki kwa machozi, jasho, damu, vifo, njaa, na kudhalilishwa na Nguvu za Dola.

Mfano wa kauli za Lowassa;

1. "Nimewawezesha wapinzani kufikisha wabunge zaidi ya 100, tukiweka na viti maalum"
2. "Nimewasaidia kushikilia jiji la Dar es salaam"
3. "Nitagombea 2020, najiandaa na uchaguzi mkuu "
4. "Nimeufanya upinzani kuwa na nguvu kuliko wakati wowote"

Na nyingine nyingi zenye utata!

Swali ni je, kwanini hizi "nime" zisiwe "chama kime"? Halafu toka lini Lowassa amefuta taratibu za kumpata mgombea urais ndani ya chama na kujihakikishia nafasi ya kugombea uchaguzi mkuu 2020??

Lowassa apewe onyo, na afunzwe kuwa siasa ni collective and intergrated efforts na sio One man show or else mtwambie kama amekabidhiwa chama mikononi mwake, na lini ilifanyika hivyo.
 
Daah ungekuwa mke wangu then ulete za kuleta lazima ule mbata. Inatakiwa ujue ninj wajibu wako na kipi unachitakiwa kutenda.
Pole sana ndugu yangu mkeo atakua anamegwa kirahisi sana kama kweli utakua unamfanyia hivo ...hizo mbata hazisaidii mkuu yan atakapotokea jamaa ppemben akalijua hili na ambae ni muelewa wa haya mambo umekwisha ndugu yangu.
 
Mwanamke ni pambo la nyumba haifai kupigwa,unaweza kumgombesha lakini sio kumpiga,na mwanamme kweli anapiga na kutafuta pesa hapigani na mwanamke, mie mwenyezi mungu aninusuru lakini asijaribu kuninyanyulia mkono ndio itakua mwisho kama mtoto wawatu umemchoka mrejeshe kwao ni pigo kubwa pia lakini sio kumpiga,wazazi wake walikuozesha hawakukuzia na wangekua wanampiga usinge mkuta...
 
siku my man alivyonyanyua mkono na kunipiga ni siku iliyobadilisha kila kitu kwenye maisha yetu, sijui namuonaje hata aongee kitu kinapita kulia kinatokea kushoto, nimemshusha thamani kabisa, tunaishi tu siku ziende naigiza kila kitu and i am not committed anymore.
ewe mwanaume usimpige mkeo na ukimpiga akakaa kimya usiamini umeshinda, unaharibu sehemu kubwa sana ya mahusiano yenu.

Hivi kiongozi gani alisema wapigwe tu maana hamna namna?
 
siku my man alivyonyanyua mkono na kunipiga ni siku iliyobadilisha kila kitu kwenye maisha yetu, sijui namuonaje hata aongee kitu kinapita kulia kinatokea kushoto, nimemshusha thamani kabisa, tunaishi tu siku ziende naigiza kila kitu and i am not committed anymore.
ewe mwanaume usimpige mkeo na ukimpiga akakaa kimya usiamini umeshinda, unaharibu sehemu kubwa sana ya mahusiano yenu.
 
Pole sana ndugu yangu mkeo atakua anamegwa kirahisi sana kama kweli utakua unamfanyia hivo ...hizo mbata hazisaidii mkuu yan atakapotokea jamaa ppemben akalijua hili na ambae ni muelewa wa haya mambo umekwisha ndugu yangu.
mwambie mkuu maanake wengine wanaona ni sifa kutoa mbata kwa wanawake
 
Back
Top Bottom