Hebu pitia uzi upya. uone jinsi wenzako walivyoweka wazi kuwa hata mama zao hawaamini. Kwa umri wake sishangai.Aisee, hayo maneno ya mwisho makali sana, wakati mwingine usipate stress na mada za namna hii. Pengine umri wake unamruhusu kuandika haya. NB:- Hakuna mwanaume asiyemwamini mama yake labda awe mvulana.
Nimekuelewa vyema na pia nimeuelewa uzi vyema ila nilipoangalia umri nikawa nimepata jibu, huenda akikua atakua mwanaume, asiyemwamini mtu aliyemweka tumboni miezi 9 na kumlea mpaka akaweza kutongoza itakua kwenye akili zake kuna tatizo. Kuna nyuzi nyingine unazisoma afu unazipotezea tu, ukizichukulia siriaz zitakusumbua.Hebu pitia uzi upya. uone jinsi wenzako walivyoweka wazi kuwa hata mama zao hawaamini. Kwa umri wake sishangai.
Sio wte bhn,mtu kama mimi nikopoaSi madume wala majike wotee si wakuwaamini
Kakaaa huo utani umeanza lini kaka ynguuu eee, we unauhakika nimeguswa pabayaDada naona unajifariji baada ya kuguswa pabaya
Mkuu wanaume nao ni nuksi tuu hamna lolote we jiamini peka yako tuu.Sio wte bhn,mtu kama mimi nikopoa
Mkuu ulichosema ni kweli hakuna mwanaume wala mwanamke kikubwa ni wewe tuu. mm nakwambia bora usalitiwe na watu wa jinsia nyingine kuliko jinsia yako.Kakaaa huo utani umeanza lini kaka ynguuu eee, we unauhakika nimeguswa pabaya
Dada yangu naona kama ndio penyewe haswa...kwamba nyie hamuaminikiKakaaa huo utani umeanza lini kaka ynguuu eee, we unauhakika nimeguswa pabaya
Nimekusoma jembeMkuu wanaume nao ni nuksi tuu hamna lolote we jiamini peka yako tuu.
Bora usalitiwe mara 1000 kulipo wana wakusaliti kaka. Nimepitia ndo maana najua nachokiongea.
Wewe unadate na msichana wa miaka 18 unasema umepitia mengi maishani? Hapo ulipo am sure hata 24 hujafika..Hujapitia magumu maishani ndo maana waona easy tuu.
Nikisema wanawake mnataa bado utabisha ila ndo ukweli huo.
Na hata kama umepitia magumu kiasi gani kusema huwaamini wanawake wote mpaka mama yako ni kupungukiwa na akili.Hujapitia magumu maishani ndo maana waona easy tuu.
Nikisema wanawake mnatamaa bado utabisha ila ndo ukweli huo.
Mkuu naona una underrate sana watu humu. Wewe una hakika nimetembea na huyo demu peke yake? Unajua mangapi nimeyaona hadi kufikia hii hatua ya kudharau wanawake? na kwa taarifa yako tuu sio wanawake tuu bali hata wanaume wenzangu nao ni stupidy tuu.Wewe unadate na msichana wa miaka 18 unasema umepitia mengi maishani? Hapo ulipo am sure hata 24 hujafika..
.
.
Maisha yamejaa changamoto za kila aina. kama kitu kidogo hivyo kinakuchanganya majukumu yakikuzidi na kero za mke sijui kama utaziweza.
.
.
**rekebisha post yako. msichana wa miaka 18 huwezi kumuita mwanamke. bado hajakua kiakili..amevunja ungo tu anapelekeshwa na hisia, hana akili yoyote!
Unaongea hivyo kwasababu wewe ni mwanaume. Wanawake nao wanaona wanaume ni wasaliti. hiyo ni nature tu. lakini ukweli ni kwamba kwenye mapenzi usaliti upo pande zote. wanaume wanaumizwa na jinsia ya kike na wanawake wanaumizwa na jinsia ya kiume. rate ya kuumizwa na ukali wa maumivu ni ule ule.Mkuu ulichosema ni kweli hakuna mwanaume wala mwanamke kikubwa ni wewe tuu. mm nakwambia bora usalitiwe na watu wa jinsia nyingine kuliko jinsia yako.
Sasa hao ndo wamenifanya kuwa mimi sasa.Na hata kama umepitia magumu kiasi gani kusema huwaamini wanawake wote mpaka mama yako ni kupungukiwa na akili.
Nakwambia hivi okay utitoa mapenzi still siamin mtu dunia hii.Unaongea hivyo kwasababu wewe ni mwanaume. Wanawake nao wanaona wanaume ni wasaliti. hiyo ni nature tu. lakini ukweli ni kwamba kwenye mapenzi usaliti upo pande zote. wanaume wanaumizwa na jinsia ya kike na wanawake wanaumizwa na jinsia ya kiume. rate ya kuumizwa na ukali wa maumivu ni ule ule.
Sawa. umemalizia vizuri! Pole!Mkuu naona una underrate sana watu humu. Wewe una hakika nimetembea na huyo demu peke yake? Unajua mangapi nimeyaona hadi kufikia hii hatua ya kudharau wanawake? na kwa taarifa yako tuu sio wanawake tuu bali hata wanaume wenzangu nao ni stupidy tuu.
Na pia naheshimu mwanamke zaid kidume mwenzangu kwa taarifa yako!
Kamanisha hata mama anaweza kukudanganya kwamba huyu ndo babako kumbe siyo.Kuna mdau kasema hata mama yako usimwamini huku ni kuwadharau na kuwashushia heshima mama zetu, mama waliotulea kwa shida na raha umeumwa amehangaika na wewe ulimfanyia kia aina ya madhila na bado akakustahmilia leo msiwaamini mtakuja kupata lana bila kujijua
Next time tafta alieenda age kidogo 18 yrs bado akili za kitoto zinamsumbua
#bailly's
Aisee, hayo magumu ndo yepi kijana, au ndo hako kasichana kamekupitisha kwenye magumu, uwepo wako duniani ni uthibitisho tosha wa kuweka imani kwa mama zetu, wakati mwingine alitukanwa na kunyanyaswa kwa mimba aliyobeba lakini hakukuflash. Anyway kuna muda utafika utaona sababu ya kua na imani na mama yako, muda utasema.Tatizo watu kama nyie hamjapitia magumu maishani ndo maana mnaongea tuu so siwezi kuwalaumu unajua mwisho wa siku kila mtu ana mapito yake.
HATA NIKISEMA WANAWAKE WOTE AKILI ZAO NI SAWA NAJUA UTAPINGA VIKALI KISA MAMA YAKO AU DADA ZAKO.
Hujakutana na ukweli wa maisha. Yuko tayari kukutoa sadaka iliyothamani kuliko zote. ChezeaKuna mdau kasema hata mama yako usimwamini huku ni kuwadharau na kuwashushia heshima mama zetu, mama waliotulea kwa shida na raha umeumwa amehangaika na wewe ulimfanyia kia aina ya madhila na bado akakustahmilia leo msiwaamini mtakuja kupata lana bila kujijua
Next time tafta alieenda age kidogo 18 yrs bado akili za kitoto zinamsumbua
#bailly's