mwanamke gani wewe?

mwanamke gani wewe?

Watu wanajua kusuta!

Hapa ukitulia unapata shairi
 
s
Hakuna kitu kinakera MTU mda wote kainamia simu, hadi unajiuliza, anamawasiliano na dunia nzima?
hingo mpaka inakuwa kama kuku ana mdonde
 
Itabidi nasisi wanaume tuwe na Makungwi... sasa sijui watajifunzia wapi "Kusuta"

Kama huyu mwanamme atakaeendelea kuishi na mwanamke tajwa kwa hizo tabia wanawake tunamuwapa.
sidhani kama atapatikana
 
Back
Top Bottom