Mwanamke gani ungependa umuoe?

Mwanamke gani ungependa umuoe?

Nafikiri hiyo hoja ya Bikira UFUTE KABISA kwa sababu zipo sababu nyingi zinazofanya mwanamke asiwe na bikira hata bila kuingiliwa!
sawa mpare
tumekuelewa wewe huna Bikra kwanini utake bikra?
 
Ni swali rahisi tu wala usijifanye hauelewi

Wewe kama Mwanaume (Kidume/ Rijali)
Ungependa uoe Mwanamke was aina Gani Kati ya hawa 3?!

1. Mwanamke mpole, sio bikra, mnyenyekevu, mkimya, ukimtukana hajibu, akikuona unakuja anakukimbilia kukupokea mzigo uliobeba, anampenda Mungu, mtulivu, Introvert, kila ukimpa idea anasema ndio bwana upo sawa bwana, hachangii maendeleo anakuachia kila kitu ufanye Wewe, changamoto za maisha zikija anakukimbilia Wewe, elimu chuo kikuu

2. Mwanamke Mjanja, aggressive, sio bikra, fighter, mchapakazi, changamoto za maisha zikija anazimaliza mwenyewe alafu anakupa mrejesho, anachangia maendeleo mwanzo mwisho, sio mpole (mwongeaji), ana akili (smart), anampenda Mungu, elimu chuo kikuu

3. Mkimya, sio mwongeaji, ana bikra, changamoto za maisha zikija anachangia ila 70% anakuachia mume, ndio bwana madizaini, elimu chuo kikuu

4. SICHAGUI HATA M1 UTAKAEMCHAGUA

Kuwa mkweli Mwanamke yupi Kati ya hao 3 utamuwowa?!

Au wewe chaguo lako ni no 4?!

Ayejitambua tu,mengine si yamsingi sana kwangu
 
Wote hawana vigezo nivitakavyo
 
4.

Mwenye hofu ya Mungu, Anayenivutia mimi, Mcheshi, mpambanaji, reasonable etc.

Hiyo ni nadharia tuu, ukija kwenye vitendo ukimpata anayekidhi 'vigezo' vyote unamshukuru Mungu.Vinginevyo unachagua anayeendana kwa ukaribu na mke wa kufikirika.

Namshukuru sana Mungu kwa mke niliye naye.Ni miongoni mwa wanaume tuliobahatika niseme.I am proud of her.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni swali rahisi tu wala usijifanye hauelewi

Wewe kama Mwanaume (Kidume/ Rijali)
Ungependa uoe Mwanamke was aina Gani Kati ya hawa 3?!

1. Mwanamke mpole, sio bikra, mnyenyekevu, mkimya, ukimtukana hajibu, akikuona unakuja anakukimbilia kukupokea mzigo uliobeba, anampenda Mungu, mtulivu, Introvert, kila ukimpa idea anasema ndio bwana upo sawa bwana, hachangii maendeleo anakuachia kila kitu ufanye Wewe, changamoto za maisha zikija anakukimbilia Wewe, elimu chuo kikuu

2. Mwanamke Mjanja, aggressive, sio bikra, fighter, mchapakazi, changamoto za maisha zikija anazimaliza mwenyewe alafu anakupa mrejesho, anachangia maendeleo mwanzo mwisho, sio mpole (mwongeaji), ana akili (smart), anampenda Mungu, elimu chuo kikuu

3. Mkimya, sio mwongeaji, ana bikra, changamoto za maisha zikija anachangia ila 70% anakuachia mume, ndio bwana madizaini, elimu chuo kikuu

4. SICHAGUI HATA M1 UTAKAEMCHAGUA

Kuwa mkweli Mwanamke yupi Kati ya hao 3 utamuwowa?!

Au wewe chaguo lako ni no 4?!

Mitabia yako ya mwaka jana bado umekuja nayo huku 2019???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom