Mwanamke gani mashuhuri kuukwaa U-DC baada ya uchaguzi 2010?

Ma-DC.jpg

Wakuu wa Wilaya wapya, sita wanawake kati ya 15 walioteuliwa na Rais hivi karibuni wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kumaliza semina elekezi mjini Morogoro, majina na Wilaya zao kwenye mabano , kutoka kulia ni Fatma Mwassa ( Mvomero), Queen Mlozi ( Ukerewe), Fatma Ally ( Nanyumbu), Mery Silla (Arumeru), Dk Rehema Nchimbi ( Newala) na Angelina Mabula ( Mulemba)., mafunzo hayo ya awali yalifanyika kuanzia Mei 5,hadi 8, mwaka huu.

Wakuu tujadili ni wanawake gani Mashuhuri wanaweza kukwaa U-DC baada ya uchaguzi 2010 maana idadi hii ya uwakilishi wa akina mamabado haitoshi kabisa. Mimi naona kina Fatma Almasi Nyangasa, Shyrose Bhanji, Vicky KAMATA and the list goes on and on...wana nafasi ya kuchaguliwa kama wakuu wa wilaya baada ya uchaguzi 2010.

sasa ni wakati muafaka kwa wenye bahati zao!!!!
 
Back
Top Bottom