Mwanamke gani mashuhuri kuukwaa U-DC baada ya uchaguzi 2010?

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Ma-DC.jpg

Wakuu wa Wilaya wapya, sita wanawake kati ya 15 walioteuliwa na Rais hivi karibuni wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kumaliza semina elekezi mjini Morogoro, majina na Wilaya zao kwenye mabano , kutoka kulia ni Fatma Mwassa ( Mvomero), Queen Mlozi ( Ukerewe), Fatma Ally ( Nanyumbu), Mery Silla (Arumeru), Dk Rehema Nchimbi ( Newala) na Angelina Mabula ( Mulemba)., mafunzo hayo ya awali yalifanyika kuanzia Mei 5,hadi 8, mwaka huu.

Wakuu tujadili ni wanawake gani Mashuhuri wanaweza kukwaa U-DC baada ya uchaguzi 2010 maana idadi hii ya uwakilishi wa akina mamabado haitoshi kabisa. Mimi naona kina Fatma Almasi Nyangasa, Shyrose Bhanji, Vicky KAMATA and the list goes on and on...wana nafasi ya kuchaguliwa kama wakuu wa wilaya baada ya uchaguzi 2010.
 
Wakuu tujadili ni wanawake gani Mashuhuri wanaweza kukwaa U-DC baada ya uchaguzi 2010
Hivi kumbe huwa wanachaguliwa kwa kigezo cha umashuhuri? Kama ni hivyo, nadhani ulitakiwa uanze na Festi Ledi :D
Usimsahau pia na Ester Chabruma aka Lunyamila wa timu ya taifa ya wanawake maana ni mashuhuri kweli kweli :D !!
 
Hivi ili mtu uwe mashuhuri ni lazima uwe mashuhuri?kuna uhusiano gani kati ya umashuhuri na ukuu wa wilaya ama mkoa?
 
Natabiri Imelda Mwamanga kuteuliwa kuwa mbunge na Rais na kupewa unaibu waziri.
 
Khadija Koppa --Kinondoni.

Asha Baraka " Twanga Pepeta" --Temeke

Ray C--Ilala

Hawa ndio al maarufu wa muungwana!!!
 
Hoyce Temu - Ilala
Jaquline Ntuyabaliwe - Kinondoni
Vicky Kamata - Ilemela ,Mwanza
Lady JD - Waziri wa Vijana na Burudani
Shyrose Banji - Naibu waziri wa Fedha
Khadija Kopa - Waziri wa Utamaduni
Ray C - Mnyikulu
Joyce Kyria - Private Secretary to the President
 
vyeo vya UDC ni shukrani inayotolewa kwa mtu kutokana na mchango wake kwa either presd, Vice presd na mara nyingine PM. ni nafasi ambazo ukiorodhesha wanawake wengi walioteuliwa hivi karibuni si kwamba ni good performers ila utakuta kuna scenerio nyuma yake.
MA DC makini waliowahi kuteuliwa miongoni mwa wanawake ni huyo wa arumeru na Dr. NCHIMBI wengine hao vimeo aka chakula ya wanene.
umefika wakati DC's na RC's wapigiwe kura na Wananchi.
 
Hoyce Temu - Ilala
Jaquline Ntuyabaliwe - Kinondoni
Vicky Kamata - Ilemela ,Mwanza
Lady JD - Waziri wa Vijana na Burudani
Shyrose Banji - Naibu waziri wa Fedha
Khadija Kopa - Waziri wa Utamaduni
Ray C - Mnyikulu
Joyce Kyria - Private Secretary to the President
Mimartha wa Jesse - Habari
Miriam Gerlad - utalii
Richa Adhia - mambo ya nje
 
Hoyce Temu - Ilala
Jaquline Ntuyabaliwe - Kinondoni
Vicky Kamata - Ilemela ,Mwanza
Lady JD - Waziri wa Vijana na Burudani
Shyrose Banji - Naibu waziri wa Fedha
Khadija Kopa - Waziri wa Utamaduni
Ray C - Mnyikulu
Joyce Kyria - Private Secretary to the President

Si mchezo hata mimi ningekuwa Rais ningempa u-PA huyu mlimbwende!

100_2379.JPG
 
Haya ndio matatizo yanayoisumbua nchi yetu.

  1. Badala ya kuorodhesha sifa za yeyote atakayeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa/wilaya, eti tunaleta hoja ya kuteua watu maarufu kwa ajili ya madaraka.
  2. Tokea lini umaarufu ukawa ni uwezo wa kuongoza hata kama hao maarufu hawana elimu/ busara ya kuongoza maelfu ya watu?
Tuweke viongozi imara kuanzia ngazi za wilaya ili waweze kusaidia na kushiriki kwenye kuleta maendeleo kwa uwezo wao wenyewe na sio tu kuwa matarishi wa kupokea viongozi wa serikali kuu.
 
maendeleo hayata onekana kama ni kwa kufata umaarufu kwani wengi wanawake maarufu ila wanatofaitiana umaarufu wa aina zipi,uwezo wa mtu uangaliwe zaidi ili isiwe bora mwanamke ktk nafasi hizo bali mwanamke anayefaa katika utendaji na kusukuma kurudumu la maendeleo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom