Mwanamke gani mashuhuri kuukwaa U-DC baada ya uchaguzi 2010?


OK.nimekuelewa wangu!mtazamo wangu wananchi wa wilaya husika ndio watajua D.C wao ni mchapakazi au la!kama upo kwa mlengwa utakuwa unajua ukweli...na kusema kweli ni ma D.C wachache ndio wapo ndani ya ndoa za kiukweli yani za kisheria....ila wengi mno wanajiheshimu sana so inaniuma nikisikia wanaitwa chakula cha wakubwa!hilo tu ndio lina nifanya nitetee!sorry kama nimekukwaza.
 



nani kaliwa tena jamani?hakuna mla watu ila mbakaji ambao ni CCM wanabaka mali zetu...usisahau kumpigia Dr. Slaa
 
Wadau mzaha mzaha jipu hutumbuka mzaha....hayawihayawi huwa sasa wakina mama ma dc bado hatujawajua ila baba huyoooo!Nape Nnauye ateuliwa kuwa D.C wa MASASI.........................................mpoooo???
 

regia mtema na maulida anna komu
 
Kama usipokuwa maarufu JK atakujuaje?
Ingekuwa enzi za Nyerere usalama wa Taifa walifanya kazi yao na mtu anaeteuliwa anakuwa Cream
Not nowdays watu wanauza suraaaaaaaaaaa tuu kesho DC
 

Baada ya mafunzo ya siku 3?
 
Vigezo vya kuwa DC ni vipi?Je Kuna anayejua JOB Description ya DC. mimi ninachojua DC anapokea wageni wa wilaya,hasa UJIO wa Mwenye Kaya.ila ingekuwa vizuri job Descriptions ziwekwe online,hasa za public jobs e.g DC ,RC,Dawani,etc and ofcourse za First lady,kwani sometimes unasikia Firstlady and anasomema/mewa risala.pia anatoa ahadi za serikali,hapo unajiuliza what is the Job Description yake,is is a job to be a 1st Lady.mbona sijawahi kusikia Mrs.Bush akitoa risala,or for that being Mrs.Ruth Kibaki wa kenya.
Jamani nielimisheni ktk hili
 
Sifa za u - DC moja ni kiupitiwa na mwenye kajya ili akitembelea huko apate kula kiporo. Zingine ni za ovyo ovyo kama ulikuwa mpambe mzuri katika kampeni za urais. Ulikuwa unakati mbele yake nk hapo una uhakika wa kupata u-DC
 
Sifa za u - DC moja ni kiupitiwa na mwenye kajya ili akitembelea huko apate kula kiporo. Zingine ni za ovyo ovyo kama ulikuwa mpambe mzuri katika kampeni za urais. Ulikuwa unakati mbele yake nk hapo una uhakika wa kupata u-DC

acha kashfa jamani!ina maana hata hao madume wamepitiwa?
 
kakangu safari ni safari kwa hiyo mume halali wa josephine wa silaa atapata umkuu wa mkoa sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…