Mwanamke gani anafaa kuoa?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Wanawake wapo wa aina nyingi na wanatofautiana kwa kiwango kikubwa. Lakini nataka kujua mwanamke wa aina gani anafaa kuoa? Anayefanya kazi--askari, daktari, mwalimu,mwanasiasa,mfanyabiashara . Mwenye elimu. Au mama wa nyumbani tu ambaye hana elimu yoyote na hafanyi kazi yoyote au kumchukua mwanamke aliyekuwa housegirl wa mtu? Nataka kujua tu ni mwanamke wa aina gani kati ya hawa anafaa najua wote wana faida na hasara zao but yupi ana faidi nyingi kuliko mwenzake. Thanks guys!!
 
ivuga my dear mke ni sawa na mwalimu utakapo oa mke ambaye si mchamungu(mtauwa) basi na watoto atakaolea watakuwa kama mama au ukioa mke aso hili wala lile na watoto watakuwa kam mama...
okay umetaka kuoa....vitu muhimu vya kuangalia nivijuavyo mimi...ni kuhakikisha kama utapenda na kujal kwa yule umtakae kuwa na wewe maishan....
1)awe ni mke mwenye maadil ya kidini awe (islam)or (kristian)wa ukweli...
2)awe ni mwenye ilmu japo kidogo kama si sana.... maana binaadam huwezi kupata vyoote na hilo twalijua...
3) wazazi wake pia ni wakuchunguzwa kabla hujamuo mtoto wao.... yapi malezi waliomuweka mtoto yao....

(KAZI)
ukiweka umuhimu wa kupata mke lazma awe pilot awe meneger wa company flani....waweza ukampata na si kama hawana umuhimu wanao umuhimu wao.... lakini hapo kidogo patakupatisha taabu kumpata mke anaestahili katika ndoa...wew utataka hiv na mke atataka vile soo nafkiri itakuwa na mushkel kidoogo....
umempata mke na umehakikisha ana elmu kama nilivyokwambia awal basi kwanini usimuendeleze mwenyewe??? au kwanini umkatae mwenye kazi hafifu muhimu ni kusaidiana tuu abuy si lazma awe na kazi ya juu ndio awe mke mzuri...muhimu awe na heshma na kukujali kuwa wewe ni mume na yeye ni mke ni nini afanye atakapokuwa tayari kuwa ni mke wa ivuga baasi huyo ndie atakae kuwa muhimu kwako..... inshallah all dah best my dear....
 
yule anaye kufurahisha kwa maneno na matendo, na ana muonekano mzuri kwa jamii inayomzunguka
 
M/mungu atakupa unayefanana naye,kwahiyo anza kujiangalia ww kwanza, halafu jibu utakuwa nalo
 
Mke mwem anatoka kwa Mungu, ukimpata huyu awe ana kazi au elimu au hana elimu awala kazi wote hao unaweza pata mke,Cha muhimu mpendane tu
 
Mke mwem anatoka kwa Mungu, ukimpata huyu awe ana kazi au elimu au hana elimu awala kazi wote hao unaweza pata mke,Cha muhimu mpendane tu

kwa mungu tena?. Kwa hiyo nisitongoze mwanamke ninayemtaka?
 
Oa uliyempenda, kum-judge mtu kwa kuzingatia vigezo ulivyoorodhesha ni ulimbukeni...
 
Oa uliyempenda, kum-judge mtu kwa kuzingatia vigezo ulivyoorodhesha ni ulimbukeni...

kuuliza hivi sio kwamba nimesema kuwa nataka kuoa , nakusaidia hata wewe ujue mwanamke wa kuoa kama hujaoa bado.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom