Mwanamke Dar ajifungua chatu!

Mwanamke Dar ajifungua chatu!

Hili changa la macho hosptali haijatajwa na picha hakuna hivi mtu ajifungue lidubwana na simu za mchina zote hizi ikosekane picha wakati yupo leba. Halafu alijifungua lini na baba wa mtoto ni nani. Maswali mengi kuliko majibu.
 
nami nitapiga picha watu alafu nitasema mwanamke ajifungua scania
 
Mkuu hizi tabloids papers wanabuni maagizo ya kila sampuri katika harakati zao za kuvutia wanunuzi.

Lakini kusema ukweli haya si mambo ya ma tabloids tu.

Ni mambo ambayo yapo kwenye jamii.

Hizi habari za watu kugeuka chatu au watu kuzaa chatu mimi nimeanza kuzisikia zamani sana kabla hata haya magazeti ya udaku kuwepo.

Mwaka 1987 (kama sijakosea) kuna uvumi ulienea Dar nzima eti kuna jamaa aligeuka kuwa chatu huko maeneo ya Buguruni na sababu ikatajwa kuwa ni dawa za mapenzi za mkewe ambazo alimwekea kwenye ndoo ya maji ya kuoga ndizo zilizomfanya jamaa ageuke kuwa chatu au sijui nusu mtu nusu chatu.

Kwenye jamii inayoamini sana mambo ya ushirikina haya ni mambo ya kawaida kujitokeza kila baada ya muda fulani.
 
Mnatupotezea muda bure! Si kweli hii. Na kama ni kweli weka picha ya chatu hapa!!!!
 
Mwanamke ajifungua simu aina ya galax s3 huko mbagala ntaleta picha.
..
 
Kama ni kweli basi ni aina ya wakina mama wanaotafutia

watoto kwa wanganga wa kienyeji.

Haya ni mauzauza kuna mwingine nakumbuka mwaka 1979 alijifungua sungura na baadaye yule mama alifariki.

Mkuu;
si huko tu! Hata kwenda kutafuta mimba/watoto kwa wachungaji au maaskofu wa KILOKOLE ni hatari sana.

Msijaribu kabisa hayo. We komaa na hospital tuuu! Mungu yupo.

Tatizo watu tumekuwa wepesi wa imani na aapumbafu sana. SARAI (Mke wa Ibrahimu) alipata mtoto(Isaka) akiwa na umri mkubwa sana(kikongwe). Aliendelea kumtumainia Mungu.

Hata ukikosa kabisa, ndiyo mipango yake Mola. Usiweweseke!

Pia, ndugu na wanafamilia husika wajitahidi sana kuwapenda na kuwatia moyo wahanga wa matatizo ya watoto/ujauzito.
Manyanyaso na micharuko ya mawifi e.t.c ndio huwakimbiza kina mama/dada kusiko takiwa ili wapate watoto/unafuu, ndo wanaishia kwenda kupewa chatu, majini e.t.c

Utanisahihisha kesho Ishmael
 
Last edited by a moderator:

Watu wanapo acha kutegemea Yesu ambaye ni Mungu, ndio mambo kama haya yanawapata. Umesema vizuri kabisa kuwa Sarai alisubiri wake ingawa aliteleza kidogo pale alipo mpa mume wake Ruhusa na akazliwa wa jina langu.

Anyways, waiting in the Lord, is the Key.

Yesu Ni Mungu Mkuu
 
Amejifungulia nyumbani? Hakuna maelezo ya mkunga/daktari? Hadithi ya kijinga kabisa.Hivi haya magazeti yanasimamiwa na chombo gani kuhakikisha yanatoa habari zisizopotosha?

hii inaitwa hapo zaman za kale!!!
eti hospital hiz za cku hiz ambazo mait aliyefariki kwa ajal kaharibika vibaya anapigwa picha (cjui na nani), sembuse chatu wamuache? nani kasema,!!!!

halafu kuna kastaili magazet ya udaku wanatumia sikuhizi,
wanakwambia piga picha ya tukio,waambie ilikuwa ni nini wao wanatengeneza habar!!

tangu nianzepata hizo sms zao,
from my heart hakuna gazet nitakaa nisome( japo sikuwasomaji kivile), ila sasa ndo kabisaaaa!!!
stupid kabisa
 
Mwanamke ajifungua simu aina ya galax s3 huko mbagala ntaleta picha.
..

Hahahaha umenichekesha mpaka machoz yanatoka make up zote zimefuchirizikiwa na machoz loh inabid nikapake upya nikitia maguu ofisini
 
Back
Top Bottom