Mwanamke: Dalili kwamba mwanaume uliye naye si wako peke yako....!

Ha ha ha ha haaaaaa...
Unajua na mie nimezaa mabinti, najaribu tu kuwashtua wachanganye na za kwao.....


CC: King'asti, MwanajamiiOne, Asnam, Husninyo, Cantalisia


Acha mama yao ashughulikie hiyo mada wewe somesha lisha visha inatosha ongezea na dini basi!!!!!!

Tutashindwa mechi kabla ya kuanza; nyie ujana wenu mmefaidi saa hizi ndio busara kibao! !!!!!!

Mnatusaliti jamani seniors wetu!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Acha mama yao ashughulikie hiyo mada wewe somesha lisha visha inatosha ongezea na dini basi!!!!!!

Tutashindwa mechi kabla ya kuanza; nyie ujana wenu mmefaidi saa hizi ndio busara kibao! !!!!!!

Mnatusaliti jamani seniors wetu!!!!!!!
v
Ndio basi tena
 
Yah ndo ukweli, tukubali tukatae, ni wanaume wachache sana ambao wana single lady,cha msingi ni kujipa moyo unapendwa peke yako, mie apende tu huko ila nisimkamate wala kugundua kwamba ananicheat


ram najua ni ngumu lakini at least umeujua ukweli ........ LOL
 
Last edited by a moderator:
Haai kaka wangu
Athinikondie tabia,nethimanya ni ani mwemghenja yo ni yo

Hekai chakondika mbwanyeni .........!
Nakusemba usinilange kabisa, wala sikichwa he iyo mburi ni nisaatikwa nengwe nengwe he mshitu wa Mabwe Pande....LOL
 
Back
Top Bottom