Mwanamke Booobaaaa.....πŸ‘©πŸ½β€βš–οΈπŸ‘©πŸ½β€πŸ«πŸ‘©πŸ½β€πŸ³ πŸ’ͺ🏽

Hahah I know the song....and that makes two of us!!!

Wimbo wa zamani sana huu, umeweza kukumbuka hadi tungo zake!!

Yeah....

Just the two of us.
 
Nzi haogopi kipindupindu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaalaah weewee sikuwezi hakyanani looh heheheeee

Umenikumbusha mkubwa na wanawe...

Mtu kunywa kunywa milenda sio ufaalaa ila kupenda
Nzi kufa kwenye kidonda sio ufaalaa ila kupenda...

Kama kibaka kuomba lifti kwenye difenda....

Hahahaaaa
 
Umenikumbusha na ile taarabu isemayo,

kipendacho roho, hula nyama mbiichi, hapo kuna kibiti kinapita, kisha wanasema..
Ni langu chaguo..

Kumbukumbu zimeanza kunitoka mpenzi wangu sijui kundi gani lilishusha mistari adim kama ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…