Mwanamke bila kumdanganya hamna kitu

Sio kosa lao wamerithi toka kwa bibi yao Hawa pale bustanini Eden,toka alipoamini na kuvutiwa na uongo wa shetani ndo karithisha tabia mpaka leo.
 
Reactions: SDG
we danganya wenzako aliekwambia huwa hatujui tukidanganywa nani? Ni vile tu tunajitoa ufahamu ila tunajua vizuri kuchuja pumba na mchele [emoji188][emoji188]
Mara nyingi mnakuja kujua ukweli kama ni mpira basi hapo ni dk 93.
 
Unajua haya mambo kama hujawahi kufanyiwa au kufanya unawez bisha ila huo ndo ukwel hongera san mtoa maada[emoji109]
 
Reactions: SDG
Mbona tukisema uongo papuchi tunajikuta tunaletewa hadi nyumbani.
 
Mkuu kunawengine usipofunguka anaona kama mpo kwenye drama za kikorea mara unaishia kuhudumia tu. (Huku wanaitwa washika mapembe)
 
Kama ilivyo demu inabidi umdanganye ili umgegede mwanaume yeye udhaifu wake upo kwenye kuona ndo maana wanawake wanaweka make up shida itakuja ukweli umejurikana na ile make up imeondolewa weee[emoji23] [emoji23]
 
Hiyo ni ajali kazini mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…