Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,963
Huyu unaeongea naye ni mzee wa 58yrs nilichotaka kusisitiza ni kuwa uaminifu uwe kwa wote ili kuleta usawaPoleni kwa yaliyokukuta Odhiambo!
Sasa nikuambie tu!
Huyo alikufanyia hivyo ndio mme wako( au unaweza kumuita HERO wako), huyo ulienae sasa hivi anamtunzia tu huyo HERO.
note: mwanaume ataendelea kuwa mwanaume,
mwanamke ataendelea kuwa mwanamke...! nyie mpo sealed.
Ok, na wewe unachat na Mzee wa miaka 65.Huyu unaeongea naye ni mzee wa 58yrs nilichotaka kusisitiza ni kuwa uaminifu uwe kwa wote ili kuleta usawa
Bikra zingine hutoka kulingana na mazingira ya makuzi e.g. binti wa Usukumani anaanza kutumia baiskeli ktk age 9yrs kufuata maji na kusaga vyakula huyo ubikra atautoa wapi ?! Ukioa angalia uamifu wa mkeo basi
Mawazo yako ni mema lakini unapomuoa mwanamke usimkute na hiyo bikra usimlaumu wala kumzodoa huwezi elewa her history, Wengine hubakwa , Wengine mazingira magumu ya maishaOk, na wewe unachat na Mzee wa miaka 65.
Usawa Uliokuwa unauzungumzia Haupo na Hautokuwepo kamwe, hivyo ndivyo ilivyo tangu mwanzo.
Ila suala la Uaminifu hilo ni suala Jingine.. ambalo mimi na wewe tulikuwa hatulizungumzii, umelipachika tu sasa hv.
Ukizungumzia uaminifu hapo unazungumzia walio tayari kwenye mahusiano / ndoa.. ila kujitunza ulipokuwa unazungumzia wewe ni maisha kabla ya ndoa.. thats why ulitaka mwanaume nae ajitunze hadi kufikia ndoa.
Wafundishe zaidi wanao na wajukuu zako kutunza bikira zao hadi ndoa, mungu aliziweka kwa makusudi maalumu, sio ili zitolewe na mtu yeyote tu!
Ubinafsi (wote tujitunze)Hakuna uthibitisho kwa mwanaume bali kwa mwanamke..Na Mungu aliona mbali ndio maana akamchagua mwanamke awe na alama yaani Bikra..Mwanamke ni kila kitu!
Unasumbuliwa na mihemko ya kifalsafa yaani(HAKI SAWA)rudi ktk uhalisia wa Kibinadamu na ukubali kuwa Jiwe ni jiwe haliwezi kuwa mkate wenda mpaka aliyeliumba aamue liwe mkate,yafaa nini kujilisha upepo nakujihesabia haki?Nilichopendea huu uzi ni kuwa wanaume mmejua kudanganyana na kulishana matango pori
Nawatakia bikira njema aisee
Si Kweli..na Hautakiwi kukata tamaa kiasi hicho! Linda hadhi ya Mwanamke Rudisha HESHIMA YAKE TENA..Mke ni mke tu mwanake awe bikira na asiye bikira wote sawa
Tazama familia unayo oa
Unasumbuliwa na mihemko ya kifalsafa yaani(HAKI SAWA)rudi ktk uhalisia wa Kibinadamu na ukubali kuwa Jiwe ni jiwe haliwezi kuwa mkate wenda mpaka aliyeliumba aamue liwe mkate,yafaa nini kujilisha upepo nakujihesabia haki?
Nakuuliza swali:
KATI YA MWANAMKE AU MWANAUME WAKIACHANA NI YUPI ANAYE ONEKANA MBAYA KTK JAMII ILIYOMZUNGUKA KWA HARAKA HARAKA?
Wenzi wapo wengi sana mkuu!lkn wenzi tunanawahitaji ktk mpango halali na sahihi..Leo hii wanawake wakigomea kutoa uke wao kiholela bikira zitatunzika na hapo hapo ndio chanzo cha kumpata mume mzuri ambaye naye ni FRESH..Mungu atusaidie tupate wenzi waaminifu