Mwanamke bikira ndiye mwenye uhalali wa kutolewa mahari

Ukiwa unatoa ushauri jaribu kuangalia upande wa pili ndugu zako

Mama yako alkua bikra
Dada zako ni bikra
Shangazi zako ni mabikra
Mama mdgo/ mkubwa je ni mabikra

So km hao wate kwenye ukoo wenu wangeolewa bila mahari ungejizkia vp
 
Ukiwa unatoa ushauri jaribu kuangalia upande wa pili ndugu zako

Mama yako alkua bikra
Dada zako ni bikra
Shangazi zako ni mabikra
Mama mdgo/ mkubwa je ni mabikra

So km hao wate kwenye ukoo wenu wangeolewa bila mahari ungejizkia vp
Sheria ni msumeno inatakiwa ikate huku na huku, tunaposema mwanamke asie na bikra hastahili kutolewa mahari tunamaanisha ni wanawake wote. Hata binti yangu nikijua ni wa hovyo sipokei mahari ya mtu
 
Ukiwa unatoa ushauri jaribu kuangalia upande wa pili ndugu zako

Mama yako alkua bikra
Dada zako ni bikra
Shangazi zako ni mabikra
Mama mdgo/ mkubwa je ni mabikra

So km hao wate kwenye ukoo wenu wangeolewa bila mahari ungejizkia vp
Ni vyema kujadili mada bila kumshambulia mtoa mada. Thread haijajumuisha wala kutojumuisha ke wa familia yoyote.
 
Mwanamke mwenye Bikra kuolewa ni lazima na ni haki yake lakini hawa wadangaji na kausha damu kwa kweli kuolewa wacha waiite bahati. Huwezi msikia mwanamke Bikra akiongea kauli ya kijinga kama hiyo. Kauli hiyo hutolewa na wanawake waliochojolewa na mbususu zipo nyang'anyang'a.

Mwanamke Bikra anayohaki ya msingi ya kuchagua mwanaume amtakaye, inapendeza kusika mwanamke bikra akisema nataka mwanaume mwenye pesa, HB, na mcha Mungu. Hata sisi wanaume tutakuambia kwa kweli una haki ya kuchagua hivyo, lakini nyie akina Amber Rutty ambao mgodi ulimalizwa madini yote kwa kweli mnashangazaga sana.

Hata hivyo Mungu ni mwema kwani aliumba pia na wanaume wajinga na wenye kujidharau ndio maana mnaolewa. Lakini kwa wanaume wanaojielewa, wanaojua thamani ya mke hawawezi hata thubutu kuchukua binti asiye bikra.

Binafsi nipo tayari kutoa mahari kwa mke wang mtarajiwa endapo tuu atakuwa ni bikra. Bikra ni Nyota njema. Embu fikiria Yesu angezaliwa na mwanamke asiye na bikra nini kingekuja kwa wanaume wanaojua kufikiria na kujua thamani ya utume.

Mwanamke mwenye bikra hawezi kuwa na wasi wasi hata afikishe miaka 40. Lakini asiye na bikra miaka 25 tuu jasho linamtoka na zinaanza safari za kwa waganga na mwamposa.

Hivi sasa atoke mwanamke hapa mwenye umri wa miaka 35 aseme yeye ni bikra na anataka kuolewa, nakwambia hawezi chukua wiki moja wanaume watapanga foleni kujaribu bahati zao. Lakini atoke asiye na bikra miaka 23 aseme anataka kuolewa uone kama hatachukua miaka kama miwili mpaka saba kupata wa kumuoa.

Muungwana akivuliwa nguo kibusara tu huchutama lakini hawa wakina amber rutty wasivyokua na aibu watavamia hapa na kutetea umalaya wao, someni comments zao mtawajua tu.

Credit to Jokajeusi
 
Kwangu bikra sio kigezo cha kuoa...

Akili kubwa tuu inanitosha..
Wewe umeoa mwanamke asie bikira na hapa unajitetea kimkakati tu ila deep inside unajua umeuziwa mbuzi kwenye gunia. Ni fahari ya kila mwanaume kuoa mke bikira. Kubali umebugi hili usije kurithisha hayo mawazo ya kijinga kwa watoto wako, hii itasaidia kukata chain ya kuoa makahaba katika kizazi chako.
 
unataka bikira na wewe ni bikira? mnataka ambao hawajaguswa wewe hujagusa mtoto wa watu?
Yesu alikuwa sawa alipomuokoa yule mwanamke kupigwa mawe ili are. "AMBAYE HAJAWAHI KUTENDA DHAMBI TANGU KUZALIWA NA AWE WA KWANZA KUMPIGA MAWE" Watu ni wepesi wa kuwahukumu wenzao huku wao wakiwa wachafu zaidi.

Wanaume wenyewe hawajitunzi kabla ya ndoa. Na ndiyo chanzo cha kuharibu hizo bikra. Huku wakiwataka wanawake waliojitunza. HOW ?!
 
Back
Top Bottom