Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Hizi story huwa ni za kutunga, hakna gay anayelazimisha mapenzi, hizo chuki zenu dhidi yao, ziwage na kikomo lol.

Why unasema chuki dhidi yao, ilhali na wewe ni miongoni mwao? Acha kukana identity yako. Kama unatetea jamii yako, basi tetea ukiwa kifua mbele, sio unajificha ficha, maana hakuna aliyekuforce kuwa gay, it was your choice.
 
Wazee wa biriyani
Screenshot_2022-04-14-03-17-15-27.jpg
 
Why unasema chuki dhidi yao, ilhali na wewe ni miongoni mwao? Acha kukana identity yako. Kama unatetea jamii yako, basi tetea ukiwa kifua mbele, sio unajificha ficha, maana hakuna aliyekuforce kuwa gay, it was your choice.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeh kwa kuteseka.
Maumivu yakizidi wahi mloganzira, Lol.
 
Huyo sio msemaji wao, Bali ni mmoja wao. Nashangaa humu JF watu wanachatig nae as if ni Dem, huyo ni gay [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] halafu napendwa sasa.

Wee endelea kuteseka, au unanikubali na kunipenda ila unaniogopa? Acha kuvunga bhana, wee nifungukie tyuuuh. Huenda ikawa bahati yako, hahahah
 
Why unasema chuki dhidi yao, ilhali na wewe ni miongoni mwao? Acha kukana identity yako. Kama unatetea jamii yako, basi tetea ukiwa kifua mbele, sio unajificha ficha, maana hakuna aliyekuforce kuwa gay, it was your choice.
Huwa kanaficha identity yake [emoji2]

Ni frontliner wa kutetea gays japo yeye hajiweki wazi ana mlengo upi!?

Huyu pepsistic aje asema yeye ni gay au straight (man or women).

Mfano yule culture me aliweka wazi humu yeye ni demu na lesbian.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilishaweka wazi mbna. Labda mmesahau.

Au nirudie mara 2? Khaaaah
 
Mliowahi kupita kule Exotic, tupeni experince maana naona asilimia kubwa mademu kule hawaweki picha zao halisi.

Unamfuta demu unakuta lipo lipo hovyo tu wakati kwenye picha ni bonge la pisi.
Kuna mtu ashakumbana na hiyo kadhia?
Kule kumejaa upumbavu tu wanatumia picha za watu halafu mademu wenyewe ukiwakuta wabovu unaweza mtandika makofi kwa kukupotezea muda
 
Back
Top Bottom