mollel_afrika
New Member
- Sep 5, 2026
- 2
- 8
Daaah, mahusiano yangu ya mwisho nilikuwa na liability, Kila day ukiona simu yake unatamani uwasha airplane modeUNAPODATE MWANAMKE AMBAYE NI ASSET KWENYE MAISHA YAKO ,
Utakuwa unapata message za aina hizi. ππ
(1) Habari za asubuhi mpenzi. Nafurahi ulilala salama. Ukoje leo? Amka ujiandae kwenda kazini. Usisahau kutuma maombi ya ile kazi niliyokwambia jana, na hakikisha unajisitiri vizuri na hali ya hewa .
(2) Mpenzi, nimekumiss sana. Natumaini siku yako itakuwa nzuri. Mimi naelekea kwenye kikao. Tutaongea baadaye, jitunze. Nakupenda.
(3) Ndio mpenzi, nipo dukani nanunua mahitaji ya nyumbani. Wakati mwingine nitakuja na wewe.
(4) Usijiwekee presha mpenzi wangu. Najua utafikia malengo yako. Una msaada wangu wote.
(5) Usisahau kusali kabla hujatoka nyumbani. Kumbuka nguvu zetu ziko kwa Mungu. Nipigie ukiwa tayari kwa maombi ili tuweze kusali pamoja mtandaoni kama utahitaji.
(6) Habari mpenzi, umesharudi kutoka kazini? Siku yako imekuwaje? Natumaini haikuwa ya kuchosha sana. Sasa kunywa kahawa kidogo halafu kaoge upumzike.
(7) Habari za jioni mpenzi. Nilitaka tu kujua una mipango gani kwa ajili ya wikendi yetu.
UNAPODATE MWANAMKE AMBAYE NI MZIGO KWENYE MAISHA YAKO (LIABILITY). ππ
(1) Baby itumie elfu kumi haraka.
(2) Habari mpenzi, nakuja kwako tule pizza mchana. Halafu kuna mtu anauza mafuta mazuri, naweza kuchukua moja tafadhali? Nakupenda sana.
(3) Hey handsome, ninunulie data. Pia jirani yangu anauza skinny jeans, viatu vizuri vya Marekani na nywele za Brazilian. Utanijulisha ukiwa tayari kuninunulia hivyo. Nakupenda sana.
(4) Sina nguo ya kuvaa, na marafiki zangu wana birthday wikendi hii Life Power. Ijumaa lazima tuhudhurie zote.
(5) Baby, sijisikii kuongea, tuchat tu.
(6) Mtoto wa Dada angu amemeza sh 50. Nitumie 100k haraka, nikamcheki hospitali.
Mwanaume mwenye busara atachagua kumuoa mwanamke ambaye ni asset kwenye maisha yake, sio Liability.
BINTI
Kama unajiuliza kwa nini wanaume wanakuacha, jiangalie kwanza. Huenda baadhi ya tabia zako zikawa zinachangia changamoto unazokutana nazo katika mahusiano.
Mpokee shem ππ€ͺπ€ͺπ€ͺ
Mume wangu juzi tu katoka kuniambia hawezi kua na mwanamke mwingineπ₯²Anza kunichukia mimi, halafu twende sasa kwa mumeo na wanaume wote uliokutana nao last weekπ jokes π€£
Basi nilitaka nimpe zawadi yake ila utampa wewe. Nisamehe mkuuAΓ ah kuwa heshima na shemej ako sasa umamuiliza upo wapi ili iwejeπ€£
Hahaha,Nimeipenda hii move, kiitakachoendelea tupeane updates, tutachangia hata katoni za maji
We mgeni au sioNa nini Tena kipenz chang
Au sio π€£Mume wangu juzi tu katoka kuniambia hawezi kua na mwanamke mwingineπ₯²
Ukishakuwa tegemezi kwa kila kitu kwa mwanaume tayari hapo hayawezi kuwa mapenzi inakuwa nikuvizianaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£Mungu atusaidie wanawake tusio na pesa
Atusaidie pia wale ambao kuomba ni kipengele, tupate wataoelewa tuna mahitaji sio mpk tuombe
Ila wanaumeHahaha,
Niko seriously kwenye hili swala
huyu mwanamke ameuteka moyo wangu within a 1hr lazima nifanye jambo stay tuned π€£
Huyo mshkaji namkubali sana! Anajua namna ya kumhandle mwanamke.Mume wangu juzi tu katoka kuniambia hawezi kua na mwanamke mwingineπ₯²
Kunguru hafugiki kamwe!mchumba au mwanamke wa nje siku zote anakuwa anatabia za a liability woman's lakini ukimsweka ndani wewe ndo wakumshape chief piga pin weka misimamo yako ASAP utaona tu kakaa kwenye reli na ata`adopt zile tabia zako na atakuwa asset kwa maisha yako yote
shida haiko kwao ni vile tu tunavovyo wapokea na kuishi nao hawa viumbe ni bendera mkuu
Tegemezi wengi tu na wana mapenziUkishakuwa tegemezi kwa kila kitu kwa mwanaume tayari hapo hayawezi kuwa mapenzi inakuwa nikuviziana
Usiwaze buda kila kitu kitaenda sawaPM yangu ipo wazi Mkuu itakuwa ni furaha kubwa kwangu mkifanikisha
Mwambie akufungulie biashara maisha ya Sasa ni lazima wote mtafuteKama huna na kuomba huwezi?
Ss jmn within 1hr ???Umenisikitisha sana πππ
ndo ukweli huo mamy π hapa nilipo nina furaha isiyo na kifaniIla wanaume
Eti within 1hr nimecheka sanaπ€£
Au sioMpokee shem π