Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

Nitaleta mkuu kwa ufupi kwenye hiyo list kuna ke wa3 wanafanana sana tabia ila kama kawaida lazima mshindi awepo.
sawa buda,
kuna mwanangu nae aliingiaga mkenge akaoa demu kimenomeno akaniomba ushauri nikamwambia dogo huyo mwanamke achana naye usioe akafata mapenzi kilichomkuta hatakaa asahau kwenye maisha yake


alitoka kwenda harakati kurudi ghetto jeupe na alikua na kila kitu ndani na kibunda alikuwa anaweka ghetto
 
Daaah, mahusiano yangu ya mwisho nilikuwa na liability, Kila day ukiona simu yake unatamani uwasha airplane mode 😅😅
 
Mimi napenda hao wa pili wenyewe mnawaita mzigo sijui layabiliti,but kama siyo kujiokotea mmoja miaka hiyo ya nyuma kwa jinsi walivyoandikwa hapo juu ingekuwa karne hii hawa wa sasa nisingetoboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…