Sasa wee unapesa zaoo mwanaume wa nini tena akutunze....Khaaa
Ht nikiwa na hiyo pesa siwezi tumia mwanaume km chombo cha starehe
Ila mwanamke kutunzwa kuko palepale ht km anazo pesa
Naam.Sijapinga hilo.Na, insha'Allah,pawe na kheri!Asante shehe wangu maneno ya kheri kabisa hayo...sio aende kwake sema aje kwanguπ
π€£π€£π€£π€£π€£Nitafanyaje sasa?Nimechoka kukuona unafagia sebuleni kwangu siku hizi.Uende kwako sasa.
Nipo mambo mengi plus kushikiliwa na ke asset lazima nipotee.Sawa
Ulipotea , nafurahi kukuonaπ
Aaaah ushaniingia moyoni hapa akili imekufa Ganzi nakuwaza wew tuSays who?
Shauri yako utakutana na pentagon, ukimbie stand ππ
Uje usimulie jf
Au unasemaje?π€£π€£π€£π€£π€£
Yaani ulikua na main na side chick halafu side chick ndiye kausha damu?Mkuu kuna pisi niliibwaga mwezivwa 6 aisee ile pisi ni zaidi ya kausha damu. Sikuwa naizingatia sana kwa sababu ni mpango wa kando ila ni zaidi ya jini. Haridhiki, hatosheki ukimpa 50K anataka laki ukimpa laki hakosi sababu ya kutaka zaidi. Na aibu hana kuna siku nilimwambia unatoka kumpa 50K ya kutumia alafu baada ya dakika chache anakuomba ya vocha. Nilivyompotezea alikuwa anapiga simu kama kaibiwa na kuomba misamaha daily.
Au baba ushapewa chako?ππAu unasemaje?
Sirudii tena mwanamke anaeendekeza pesa sitaki hata kumsikia. Huyo alikuwa kausha damu haswa tukikutana inakatika kama 100K hivi na hapo bado anataka zaidi. Ogopa sana mwanamke unampa hela lakini bado anashindwa hata kununua maji ya tsh 500/=Kwa hiyo umekoma au utarudia tena?
Au sioAaaah ushaniingia moyoni hapa akili imekufa Ganzi nakuwaza wew tu
noma sana,Mkuu kuna pisi niliibwaga mwezivwa 6 aisee ile pisi ni zaidi ya kausha damu. Sikuwa naizingatia sana kwa sababu ni mpango wa kando ila ni zaidi ya jini. Haridhiki, hatosheki ukimpa 50K anataka laki ukimpa laki hakosi sababu ya kutaka zaidi. Na aibu hana kuna siku nilimwambia unatoka kumpa 50K ya kutumia alafu baada ya dakika chache anakuomba ya vocha. Nilivyompotezea alikuwa anapiga simu kama kaibiwa na kuomba misamaha daily.
π€£π€£π€£Yaani ulikua na main na side chick halafu side chick ndiye kausha damu?
Kwanini ulitafuta side chick?
No for real njoo pm tujenge kipenzAu sio
Unanipna kwenye glass usiku hulali
Vijana utawaweza hawa.Juzi tumekutana baa kajidai mwema akaninunulia Jurgermaster ya 180k.Kumbe ana lake.Simuangushi.Au baba ushapewa chako?ππ
Sijaoa mkuu nae nilikuwa nimemuweka kwenye wish list ila baadae nikaona hanifai kabisa.Yaani ulikua na main na side chick halafu side chick ndiye kausha damu?
Kwanini ulitafuta side chick?
shukrani sheheNaam.Sijapinga hilo.Na, insha'Allah,pawe na kheri!
Leta leo jioni buda kama ni bando ntakutumia mimiSijaoa mkuu nae nilikuwa nimemuweka kwenye wish list ila baadae nikaona hanifai kabisa.
Kuna siku ntaleta uzi wa wish list yangu muone visa na visanga kwa sasa nimeshaselect 1 naeona ni sahihi nimetulia
Ooh karibuNipo mambo mengi plus kushikiliwa na ke asset lazima nipotee.
ID yako ya muda ipi maana hii ndio kwanza naiona leo.
ππππVijana utawaweza hawa.Juzi tumekutana baa kajidai mwema akaninunulia Jurgermaster ya 180k.Kumbe ana lake.Simuangushi.
Huyo alitaka 600Knoma sana,
mimi alikua ananiasha asubuhi na call au msg baada ya hapo inafata mizinga aah nikawa nampa kidg au sometimes namwambia sina anakasirika kubwa kuliko alitaka nimununulie simu ya 700k nikakwambia sina hela ukatokea ugomvi nikakwambia wewe kwenye hio lak 7 unashingp nikuongezee anasema hana nikampiga swaga hilo tukalipotezea sikununua..
Tho alivyokimbia nilifurahi sana.