Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

Janja janja nyingi hawana lolote wenye misimamo wachache sana
 
Mi sio mke wa mtu
Tuwaulize walio olewa shida nn?
Japo najua mojawapo ni usaliti wa wanaume unaua hisia sn
Wapo wanaosema hiyo ni moja ya sababu ya kufanya watafute mchepuko lakini wapo ambao hawaridhiki hata kama anapewa
 
Kweli kabisa ke wabinafsi sana wanataka wahudumiwe tu bure bure. Wengine wanalalamika kabisa huwezi ukanihudumia bila kufanya tendo. Ukishaona hivyo ujue hapo unatumika
Half american Christine_1 Missy Gf Hziyech22 Kuna baadhi wadada ni pisi balaa, ila amegonga 30+ hana mume wala mahusiano ya maana, unaeza dhani kalogwa au ana jini mahaba, kumbe sio ukichunguza unakuta yuko single sababu ya tabia yake ya kupiga vizinga wanaume, wanaume wanaishia kumkimbia 🙄
 
Wanaopiga vizinga, tabia mbovu ndo wanaolewa km hujui
Fuatilia uone...
Hii kitu haina formula
Yaani kuna wanaume wanapenda hizo hekaheka
 
Kwahiyo sio kwamba unatoa sababu inatoka moyoni, unatoa ili yeye aje akupe zaidi Sasa hayo ni mapenzi au biashara 🤔 Saint Anne
Natoa kwanza kwa sababu napenda kutoa
Ndilo lengo la kwanza.
Nature ya mwanaume yeyote anayekupenda ni kutoa pia.
Ningekuwa na lengo la kufanya biashara basi nadhani ningekuwa napiga tu vizinga bila woga.
 
Wanaopiga vizinga, tabia mbovu ndo wanaolewa km hujui
Fuatilia uone...
Hii kitu haina formula
Yaani kuna wanaume wanapenda hizo hekaheka
Hao wanaume wengi wao they're simply ignorant kuhusu female nature, kama wanaume wa zamani walivokuwa ignorant, Wana miradi ya wao kumudu kuendesha familia na wanafikiri kuchunwa ndio kupendwa.

We unadhani wanaume wa zamani wengi walioaje, ilikua mtu akiombwa hiki anatoa, kile anatoa anazungushwa miaka 2, ye bado yupo tu, wala hawazi mabaya, anaona hayo ndo mapenzi, mitandao ndo imekuja kujanjarusha wanaume wengi siku izi, ndo maana mtu akiombwa elf 20 tu kwenye talking stage anaona mmh apa napigwa, anakimbia anakuja kuanzisha uzi jf Christine_1
 
Mimi binafsi ni mtoaji
Nitatoa tu
Hata nisipopewa,,,
Wala sitaomba kamwe, ila mtu ambaye hawezi kutoa hapana kwa kweli.
Upendo una nguvu sana kiasi kwamba haukosi cha kutoa.

Siyo pesa tu,
Vipo vingi vya kutoa
Mfano,
Muda, maombi,Msaada wa kusaidia kitu Fulani, ushauri
Yaani vya kutoa ni vingi , ukiacha pesa.

Mtu ambaye hafall kwenye msaada wowote katika hiyo,
Awe wa kike au wa kiume,
Huyo hafai.
 
Sio kwa hawa watu weusi
Wachache sn wanaweza kuwa na mtu 1
Inawezekana. Mbona mimi ni Mtu tena wa Equatorial Climate kabisa na nimeweza kuwa na mke mmoja na sina mchepuko? Kwanza kitambo nilipata changamoto kidogo, nikagundua ni kukaa chini na wife na kumwambia hata kama tumekosana, ahakikishe huduma hii muhimu ipo full-time, na hivyo huwa siwazi kabisa kwenda kwingine kupata huduma ambayo ninayo home tena bila tozo wala riba. Huwa nikiwaza kuhonga pesa kwa kitu nilichonacho ndani si bora niwahi home nikaipate? Ndiyo, kwanza sina muda wa kuanza kusumbuka kumtafuta binti nimtongoze sijui nianze kumjali sijui kila mara niwe na wasiwasi kwenye simu niweke pattern ngumu kama njia ya kwenda peponi, akipiga simu nianze kujikanyaga hapo, shida yote hiyo ya nini? Ila nimeshawahi tongozwa na binti hadharani, nikapendwa na wanawake live wanataka kuolewa na wengine wako tayari hata kuwa second wife, lakini Mungu akaniepusha na kikombe hicho... Kwanza siwapi muda, pili, siwajali kwa chochote, si salamu wala posho. Wakizingua nawazingua... Wakituma SMS siwajibu. Wananunaaaa, kwangu inakuwa furaha na ahueni. Ukiwa huwapi nafasi basi huwapati. Kuwa mbinafsi, jali watoto wako, jali mkeo, wapuuze wengine, waone kama mabibi zako, na hawatakusumbua.
 
Wapiga vizinga wengi hawana ndoa na hawawezi kupenda ndoa kwa sababu itawanyima fursa
 
Ila ni kweli aisee Sasa hivi wadada wengi wapo single wengi wao more selective
 
Uamuzi Bora kabisa hiyo ndio maana halisi ya kuwa mwanaume kongole sana mwamba Endelea kuwa hivyo hivyo
 
Rose akiwaambia wanawake wasiishie kufua boxa watu mna mind haya thread kaandika mwanaume manake anasema wanawake tusiishie kufua boxa tuende mbali zaiid ,sasa kiko wapi mlichokuwa mnampigia dada wa watumawe
 
Hivi wanaume tutakaa tunaoeana code za kuishi na wanawake mpaka lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…