Mwanamke apewe Haki kushawishi (Kutongoza)

Mwanamke apewe Haki kushawishi (Kutongoza)

Siwezi kukataa....wew andika tu vyovyote[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aah bwana usinirahisishie kazi, hebu vunga vunga kidogo ili nijipime uwezo wa kushawishi.
 
Wakuu kwa mila na desturi zetu imezoeleka mwanaume kumfata mwanamke kwa ajili ya kuanzisha mahusiano.

Kwa sasa wanawake wameongezeka sana kwa idadi ikilinganishwa na wanaume. Tumefika pahala kuna wanawake wanalazimika kuparamia waume wa wenzao, hawa tunaowaita michepuko.

Ni wazi sasa tumefika pahala wanaume wameshakuwa bidhaa adimu. Hali hii ikiachwa kuendelea ni wazi vita ijayo ya dunia (WWIII) itakuwa ya kugombea waume.

Kwa sasa japo haijaandikwa au kuelezwa popote ikitokea mwanamke amemshawishi (amemtongoza) mwanamume basi mwanamke huyo hutazamwa kwa jicho tofauti sana na jamii. Atapewa majina yote mabaya unayoyajua wewe. Kwa maneno mengine mwanamke amekatazwa kushawishi (kutongoza)!

Kama suluhisho kwanini wanawake nao wasiruhusiwe kushawishi (kutongoza) wanaume na ikiwezekena waruhusiwe hata kutoa maali kwa familia ya huyo mume ili kuleta usawa na ushindani wa haki.

Wakuu karibuni tujadili bila panic.
Mbona hata sasa hivi wanatongoza tu?kwani wamezuiliwa na nani?mjini hapa wanawake wako huru kabisa...kama bado hujawahi kutongozwa na mwanamke mpaka umri huu umeweza kutype hapa jichunguze maisha yako kuna kitu unakosa😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom