Mnadai haki sawa lakini mwanamke na mwanaume hawawezi kuwa sawa

njundelekajo

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
310
227
WANAWAKE NA WANAUME HATUWEZI KUA SAWA KAMWE.

NA Noel Nguzo

Kumekuwepo na vurugu NA kelele nyingi katika nchi za muafrika hasa zile zinazoongoza kwa umaskini katika kile kinachoitwa "usawa Wa kijinsia"

Wanawake wenyewe pamoja na baadhi ya wanaume wachache wameingia kwenye Harakati hizo za kudai usawa

TUNAWEZA KUA SAWA?

1.DINI INASEMAJE?

Kiimani(kwa wakristo) tofauti ya mwanaume NA mwanamke inapatikana mwanzo 2:7-17 na 2:21-23.Kifupi mwanaume alipoumbwa Mungu alisema NA tufanye "MTU" kwa mfano wetu lakini katika uumbaji Wa "mwanamke" neno mtu halikutumika

Haitoshi mpaka "mwanamke " anaumbwa tayar "MTU" (mwanaume)alikua kashapewa mamlaka yote NA Mungu kuhusu dunia na vyote vilivyomo ndani yake

2.SAYANSI INASEMAJE?

Katika kila seli ya mwanaume na mwanamke kuna tofauti.Tofauti yake (chromosomes) ndo husabibisha kufanyika kwa mwanamke na mwanaume

Mwanamke ana mambo makubwa matatu ambayo hayapatikani kwa mwanaume.Mambo haya ndo hubeba siri ya saikolojia ya mwanamke 1.kupata siku za mwezi.2.kubeba mimba.3.kunyonyesha

Damu ya mwanamke ni nyepesi zaidi kuliko ya mwanaume pia ina pungufu ya asilimia 20 ya seli nyekundu kuliko damu ya mwanaume ,tofauti hii husababisha wanawake kuzimia kwa haraka zaidi kuliko mwanaume

Moyo Wa mwanamke hupiga kwa wastani Wa mapigo 80 kwa dakika mwanaume akiwa mapigo 72 hali hii humuweka mwanamke katika hatari ya kupata blood pressure naturally kulinganisha na mwanaume

Marehemu Munga Tehenan aliwahi kuandika katika kitabu chake cha MAISHA NA MAFANIKIO kuhusu homon za mwanamke na mwanaume na matokeo yake katika mambo ya kila siku katika maisha ni moja ya mambo ya msingi kabisa yanayofanya mwanamke NA mwanaume wasifanane

3.JAMII INASEMA NINI?

Jamii nyingi duniani na hasa za kifrika(nilipo Mimi)zinakubaliana na sababu za kisayansi na za Kiimani kuhusu tafsiri NA tofauti iliyopo kati ya mwanamke na mwanaume

Japo "wanaojitanabaisha"kama wanaharakati Wa masuala ya wana wake wamebandika jina la mfumo dume mwitikio huu chanya Wa jamii wenye kuzingatia sababu hizo za kisayansi na Kiimani

Ukiangalia ndani zaidi utagundua kinachopigiwa kelele na kundi hili la wanaharakati si HAKI SAWA ni HAKI UPENDELEO.

Utawezaje kudai haki sawa kwa mtazamo mmoja?kwa nini makundi haya yanaamini usawa ni kupewa viti maalumu bungeni?kwa nini makundi haya yanaamini usawa utapatikana kwa kuwezeshwa kwa wanawake tu?..kwa nini yasitafute usawa kwa kushawishi wanawake wenzao waanze kulipa mahari kwa wachumba zako?.Huu ni USAWA USIO SAWA umejificha kwenye HAKI UPENDELEO chini ya mwamvuli Wa HAKI SAWA.

Harakati hizi za Haki sawa zimetuletea ndoa za jinsia moja sasa,zimetuletea mashoga wanaojitangaza,zimetuletea mamende na upuuzi mwingine mwingi.

NI KWELI HIZI NI HARAKATI KATIKA MAANA YAKE?

Tatizo LA ajira duniani limeibua ubunifu mkubwa na wa ajabu hasa kwa nchi za kimasikini.Leo vita ni ajira,Ukimwi ni ajira, Dini ni ajira na sasa harakati ni aina ya ajira Mpya inayokuja kwa kazi sana.

Watu wengi sasa wana maisha mzuri kupitia mwamvuli Wa uwanaharakati.Vipo vyama,makundi na watu binafsi wanaokaa na kutunga harakati katika namna ya kujiajiri

Kuna watu wanaamini kuwa njia pekee ya kum komboa
Mwanamke ni kumfanya awe sawa na Mwanaume kitu
ambacho ni kosa kubwa kwa Afrika na kwa Mungu pia.

Uwezi kumkomboa Mwanamke kwa kutaka kumweka
sawa na Mwanaume bali njia pekee ya kumkomboa
Mwanamke ni Mwanamke mwenyewe ajifunze kujiamini
na kujua thamani/muhimu wa kutumia muda wake
kulingana na wakati alionao.

Mwanamke mwenye ufahamu na anayejitambua awezi
kupigania kuwa sawa na Mwanaume, bali siku zote
atapambana kutimiza wajibu wake kama Mwanamke na
kuonesha uwezo wake kadri Mungu alivyomjalia .

Wanaharakati wengi wa masuala ya kijinsia nafikiri
hawaelewi nini maana halisi ya usawa na badala yake
wanamtumia mwanamke kama mtaji ili wazidi
kujitengenezea fursa zao wenyewe.

Tunapo ongelea Usawa wa Kijinsia ina maana kwamba
si Mwanamke wala si Mwanaume bali ni kila mmoja
apate kwa namna anavyo stahiki kulingana na bidii,
jitihada na uwezo wake .
Kama mtu anapata tu uongozi au nafasi yoyote kwa
sababu tu yeye ni Mwanamke maana yake huo si
usawa bali ni upendeleo .

Kwa hiyo wale wanaharakati wanaolilia na kupigania
kuwapa wanawake uongozi au nafasi mbalimbali kwa
Sababu tu wao ni wanawake wajue kuwa huo si usawa bali
ni upendeleo, hivyo waache kabisa kutumia kigezo cha
Usawa ili kupata Upendeleo .

Mungu akumuumba Mwanamke ili aje apewe upendeleo
bali alimuumba ili aje awe msaidizi wa Mwanaume na
si kwamba awe sawa na Mwanaume.

Tatizo letu Waafrika upokea kila jambo tunaloletewa na
wazungu bila kulichunguza na kulitafakari kwa kina
kujua jambo hili lina madhara gani kwetu.

Wazungu wanalazimisha mataifa ya kiAfrika lazima
yawe na 50% kwa 50% katika ngazi zote za uongozi kati
ya Mwanamke na Mwanaume. Wakati wao wenyewe
katika mataifa yao hawana usawa huo wa 50% kwa
50%.

Nchini Marekani, bunge la Wawakilishi wanawake ni
asilimia 19.3%, bunge la Congress ni asilimia 19.4% na
bunge la Senate lina wanawake 20 tu .
Ulaya na Amerika kiwango cha idadi ya Wanawake
wanaofanya kazi serikalini ni chini ya asilimia 15.1%.
Ambapo Uingereza (UK) ni asilimia 22.5% na Marekani
ni asilimia 17.8% pekee.

Swali la kujiuliza kama kweli wanania njema kwanini
wao wasioneshe mfano wafikishe kwanza wao hiyo
50/50% na kisha ndio wazilazimishe nchi zetu za Afrika
ziwe na 50% kwa 50% !!?.

Usawa wa Kijinsia Afrika ni mbinu ya wazungu
KUITAWALA AFRIKA KIMAAMUZI . Kwa sababu wanaamini
endapo Afrika itakuwa na viongozi wengi wanawake
itakuwa virahisi kwao kupenyeza matakwa yao maana
mwanamke ni mwepesi kushawishika.
Na ndio maana wanatumia nguvu na fedha nyingi ku-
ufadhili ili kufanikisha mpango huu Afrika. Kwa sabab
wanacho kitazama wao si 50% kwa 50% kama sisi
tunavyodhani bali ni Kunyonya Rasilimali zetu zilizoko
Afrika .
Mfano mdogo ni taifa la Malawi baada ya kifo cha rais
BINGU WA MUTHARIKA na mara tu madaraka
kuchukuliwa na Mwanamama JOYCE BANDA
wakapenyeza ushawishi wao na matokeo yake taifa hilo
likatangaza rasmi kuruhusu ndoa za jinsia moja.

Amka mwanamke Wa kiafrika unaposimama NA kusherekea siku ya WANAWAKE DUNIANI jua ni moja ya mtego uliopewa kujisaliti wewe mwenyewe,kuisaliti imani yako,kuisaliti jinsia yako,kuisaliti sayansi ili Wengine washibe kwa wimbo mzuri usiokua NA mwisho Wa HAKI SAWA.

Tiini waume zenu ili mpendwe kama ilivyoamrishwa,endeleeni kujipamba kwa manukato ili muwe mapambo bora ya nyumba.Acheni kutumia vifaa bandia vya kiume ili muupate usawa usiowezekana

Wanaowashawishi kudai usawa kwa mwanaume ndo hao hao wanawaletea vipodozi vya kuunguza ngozi zenu ili muwe weupe kama wao,ndo hao hao wanawaletea vidonge vya kutoa mimba zenu,ndo hao hao wanaowaletea matako ya bandia NA upuuzi mwingine.

AMKA BAKI NA UAFRIKA WAKO KATIKA KILA KITU."Nabaki afrika"
 
Sikuweza kusoma text yote ila husika Na kichwa cha habari. Ndoa za jinsia moja ni Ukengeufu(deviation) Wa hali ya juu ambao binadamu alishajiingiza. Unajua sasa hivi huko USA wanapiginia haki ya mashoga kutumia Maliwato zipi? Me au Ke.
 
Haki sawa ni muendelezo tu wa shetani kuendelea kupambana na Mungu,huu ujinga sio wa kuukubali hata kidogo,Mwanamke hawezi kuwa sawa na mwanaume hata kidogo,hili ni tangu kuumbwa kwa dunia.....mwanamke ni msaidizi tu na sio kiongozi,hapa ndo ambapo huwa nawakubali sana waislamu
 
Na hii haizuliki tena imeshaenea kila mahali kwamba mwanamke alinyanyasika mno huko nyuma na sasa kila mtu anahitajika kumsaidia...Jaribu kufanya kama utani mbele za watu ukiwa na wife wako uwe kama unampiga hakika hautachukua dk 1 utazingirwa na watu wengi haswa sisi wanaume na usipojieleza vizuri na kipigo utapokea kwa kisingizio mwanamke siku hizi hapigwi, huwezi mpiga mwanamke...Na hao wanaokuambia hivyo wala si wanaharakati.....Na kesho yake jaribu tena mkiwa mtaani mwambie wife awe kama anakupiga vibao na kukusukuma...Watu wale wale waliokuletea shida jana watabaki wanakucheka na kusema huyu mwanaume ni bwege kabisa na hakuna atakaye muhukumu yule mwanamke kwa anachokifanya na kama yuko serious atakuua kweli huku umezungukwa na watu wakichukua movie tu..So kama ni somo kutoka nchi za magharibi limeeleweka kwa asilimia 99
 
Sikuweza kusoma text yote ila husika Na kichwa cha habari. Ndoa za jinsia moja ni Ukengeufu(deviation) Wa hali ya juu ambao binadamu alishajiingiza. Unajua sasa hivi huko USA wanapiginia haki ya mashoga kutumia Maliwato zipi? Me au Ke.
Wazungu wajanja. Wao wanajitoa sadaka kwa kipindi fulani ili sisi tusiojielewa kila kitu tunafuata, tuingie miguu yote. Lengo lao ni kuwa. Iwapo waafrika watakubali ushoga, basi amini nakuambia mashoga ya kiafrika yataolewa na wazungu ili waue nguvu zetu baadae watutawale na kisha huu uzazi wetu upotee kabisa
 
Haki sawa ni muendelezo tu wa shetani kuendelea kupambana ma Mungu,huu ujinga sio wa kuukubali hata kidogo,Mwanamke hawezi kuwa sawa na mwanaume hata kidogo,hili ni Tangu kuumbwa kwa dunia.....mwanamke ni msaidizi tu na sio kiongozi,hapa ndo ambapo huwa nawakubali sana waislamu
Waislam wapi hao mkuu? Au mama samia suluhu
 
Na hii haizuliki tena imeshaenea kila mahali kwamba mwanamke alinyanyasika mno huko nyuma na sasa kila mtu anahitajika kumsaidia...Jaribu kufanya kama utani mbele za watu ukiwa na wife wako uwe kama unampiga hakika hautachukua dk 1 utazingirwa na watu wengi haswa sisi wanaume na usipojieleza vizuri na kipigo utapokea kwa kisingizio mwanamke siku hizi hapigwi, huwezi mpiga mwanamke...Na hao wanaokuambia hivyo wala si wanaharakati.....Na kesho yake jaribu tena mkiwa mtaani mwambie wife awe kama anakupiga vibao na kukusukuma...Watu wale wale waliokuletea shida jana watabaki wanakucheka na kusema huyu mwanaume ni bwege kabisa na hakuna atakaye muhukumu yule mwanamke kwa anachokifanya na kama yuko serious atakuua kweli huku umezungukwa na watu wakichukua movie tu..So kama ni somo kutoka nchi za magharibi limeeleweka kwa asilimia 99
Wajibu wa mwanamke sio kupigwa mkuu. Alafu Suala la too late toa akilini mwako. Tusiwe maselfish tukashindwa kuandaa vizazi vijavyo
 
Aisee, kumbe biblia inasema mwanamme tu ndiyo mtu? Sasa huyo mwanamme mtu aliyeumbwa ni mzungu au mwafrika maana kwa theory ya white supremacy mzungu tu ndiyo mtu mwafrika ni sawa na nyani tu... na mnadai haki kwamba binadamu wote ni sawa utakuwaje sawa na 'mtu' wakati we ni nyani dume tu. Mkinyanyaswa na wazungu, wachina, waarabu, wahindi msilalamike kwani ni dhana hiyo inatumika kunyanyasa na kubagua wanawake.

Halafu mbona ni mwanamme mmoja tu aliyeumbwa na Mungu waliobaki wote wamezaliwa na mwanamke sasa mtu anazaliwa vipi na asiyekuwa mtu halafu awe mtu pathetic!
 
ni ngumu wanawake na wanaume wa kiafrika kuwa sawa kwani kikubwa wanachokipigania ni upendeleo angalia wale wanaopewa ubunge wa viti maalumu wengi wamesoma tena shule za gharama lakini bado hawajiamini kusimama kwenye uchaguzi badala yake kila siku wanataka wabwebwe kama upendeleo wangepewa wale wanawake wa kijijini ambao wanaamka saa kumi na moja asubuhi wanaenda umbali mrefu kuteka maji, wakirudi wapike chakula cha asubuhi bado wanaenda kulima wakiwa na mtoto mgongoni wakirudi wanatafuta kuni halafu wanapika chakula cha familia na sio hawa wamesoma international school toka wadogo wanahudumiwa na wafanyakazi wa ndani hata kuopika au kufua nguo hawajui halafu wanataka wapewe viti maalumu.
Jambo jingine linalowadhalilisha wanawake ni mahari lakini mpaka leo sijawasikia hao wanaojiita wanaharakati wakidai mahari iondolewe
 
WANAWAKE NA WANAUME HATUWEZI KUA SAWA KAMWE.

NA Noel Nguzo

Kumekuwepo na vurugu NA kelele nyingi katika nchi za muafrika hasa zile zinazoongoza kwa umaskini katika kile kinachoitwa "usawa Wa kijinsia"

Wanawake wenyewe pamoja na baadhi ya wanaume wachache wameingia kwenye Harakati hizo za kudai usawa

TUNAWEZA KUA SAWA?

1.DINI INASEMAJE?

Kiimani(kwa wakristo) tofauti ya mwanaume NA mwanamke inapatikana mwanzo 2:7-17 na 2:21-23.Kifupi mwanaume alipoumbwa Mungu alisema NA tufanye "MTU" kwa mfano wetu lakini katika uumbaji Wa "mwanamke" neno mtu halikutumika

Haitoshi mpaka "mwanamke " anaumbwa tayar "MTU" (mwanaume)alikua kashapewa mamlaka yote NA Mungu kuhusu dunia na vyote vilivyomo ndani yake

2.SAYANSI INASEMAJE?

Katika kila seli ya mwanaume na mwanamke kuna tofauti.Tofauti yake (chromosomes) ndo husabibisha kufanyika kwa mwanamke na mwanaume

Mwanamke ana mambo makubwa matatu ambayo hayapatikani kwa mwanaume.Mambo haya ndo hubeba siri ya saikolojia ya mwanamke 1.kupata siku za mwezi.2.kubeba mimba.3.kunyonyesha

Damu ya mwanamke ni nyepesi zaidi kuliko ya mwanaume pia ina pungufu ya asilimia 20 ya seli nyekundu kuliko damu ya mwanaume ,tofauti hii husababisha wanawake kuzimia kwa haraka zaidi kuliko mwanaume

Moyo Wa mwanamke hupiga kwa wastani Wa mapigo 80 kwa dakika mwanaume akiwa mapigo 72 hali hii humuweka mwanamke katika hatari ya kupata blood pressure naturally kulinganisha na mwanaume

Marehemu Munga Tehenan aliwahi kuandika katika kitabu chake cha MAISHA NA MAFANIKIO kuhusu homon za mwanamke na mwanaume na matokeo yake katika mambo ya kila siku katika maisha ni moja ya mambo ya msingi kabisa yanayofanya mwanamke NA mwanaume wasifanane

3.JAMII INASEMA NINI?

Jamii nyingi duniani na hasa za kifrika(nilipo Mimi)zinakubaliana na sababu za kisayansi na za Kiimani kuhusu tafsiri NA tofauti iliyopo kati ya mwanamke na mwanaume

Japo "wanaojitanabaisha"kama wanaharakati Wa masuala ya wana wake wamebandika jina la mfumo dume mwitikio huu chanya Wa jamii wenye kuzingatia sababu hizo za kisayansi na Kiimani

Ukiangalia ndani zaidi utagundua kinachopigiwa kelele na kundi hili la wanaharakati si HAKI SAWA ni HAKI UPENDELEO.

Utawezaje kudai haki sawa kwa mtazamo mmoja?kwa nini makundi haya yanaamini usawa ni kupewa viti maalumu bungeni?kwa nini makundi haya yanaamini usawa utapatikana kwa kuwezeshwa kwa wanawake tu?..kwa nini yasitafute usawa kwa kushawishi wanawake wenzao waanze kulipa mahari kwa wachumba zako?.Huu ni USAWA USIO SAWA umejificha kwenye HAKI UPENDELEO chini ya mwamvuli Wa HAKI SAWA.

Harakati hizi za Haki sawa zimetuletea ndoa za jinsia moja sasa,zimetuletea mashoga wanaojitangaza,zimetuletea mamende na upuuzi mwingine mwingi.

NI KWELI HIZI NI HARAKATI KATIKA MAANA YAKE?

Tatizo LA ajira duniani limeibua ubunifu mkubwa na wa ajabu hasa kwa nchi za kimasikini.Leo vita ni ajira,Ukimwi ni ajira, Dini ni ajira na sasa harakati ni aina ya ajira Mpya inayokuja kwa kazi sana.

Watu wengi sasa wana maisha mzuri kupitia mwamvuli Wa uwanaharakati.Vipo vyama,makundi na watu binafsi wanaokaa na kutunga harakati katika namna ya kujiajiri

Kuna watu wanaamini kuwa njia pekee ya kum komboa
Mwanamke ni kumfanya awe sawa na Mwanaume kitu
ambacho ni kosa kubwa kwa Afrika na kwa Mungu pia.

Uwezi kumkomboa Mwanamke kwa kutaka kumweka
sawa na Mwanaume bali njia pekee ya kumkomboa
Mwanamke ni Mwanamke mwenyewe ajifunze kujiamini
na kujua thamani/muhimu wa kutumia muda wake
kulingana na wakati alionao.

Mwanamke mwenye ufahamu na anayejitambua awezi
kupigania kuwa sawa na Mwanaume, bali siku zote
atapambana kutimiza wajibu wake kama Mwanamke na
kuonesha uwezo wake kadri Mungu alivyomjalia .

Wanaharakati wengi wa masuala ya kijinsia nafikiri
hawaelewi nini maana halisi ya usawa na badala yake
wanamtumia mwanamke kama mtaji ili wazidi
kujitengenezea fursa zao wenyewe.

Tunapo ongelea Usawa wa Kijinsia ina maana kwamba
si Mwanamke wala si Mwanaume bali ni kila mmoja
apate kwa namna anavyo stahiki kulingana na bidii,
jitihada na uwezo wake .
Kama mtu anapata tu uongozi au nafasi yoyote kwa
sababu tu yeye ni Mwanamke maana yake huo si
usawa bali ni upendeleo .

Kwa hiyo wale wanaharakati wanaolilia na kupigania
kuwapa wanawake uongozi au nafasi mbalimbali kwa
Sababu tu wao ni wanawake wajue kuwa huo si usawa bali
ni upendeleo, hivyo waache kabisa kutumia kigezo cha
Usawa ili kupata Upendeleo .

Mungu akumuumba Mwanamke ili aje apewe upendeleo
bali alimuumba ili aje awe msaidizi wa Mwanaume na
si kwamba awe sawa na Mwanaume.

Tatizo letu Waafrika upokea kila jambo tunaloletewa na
wazungu bila kulichunguza na kulitafakari kwa kina
kujua jambo hili lina madhara gani kwetu.

Wazungu wanalazimisha mataifa ya kiAfrika lazima
yawe na 50% kwa 50% katika ngazi zote za uongozi kati
ya Mwanamke na Mwanaume. Wakati wao wenyewe
katika mataifa yao hawana usawa huo wa 50% kwa
50%.

Nchini Marekani, bunge la Wawakilishi wanawake ni
asilimia 19.3%, bunge la Congress ni asilimia 19.4% na
bunge la Senate lina wanawake 20 tu .
Ulaya na Amerika kiwango cha idadi ya Wanawake
wanaofanya kazi serikalini ni chini ya asilimia 15.1%.
Ambapo Uingereza (UK) ni asilimia 22.5% na Marekani
ni asilimia 17.8% pekee.

Swali la kujiuliza kama kweli wanania njema kwanini
wao wasioneshe mfano wafikishe kwanza wao hiyo
50/50% na kisha ndio wazilazimishe nchi zetu za Afrika
ziwe na 50% kwa 50% !!?.

Usawa wa Kijinsia Afrika ni mbinu ya wazungu
KUITAWALA AFRIKA KIMAAMUZI . Kwa sababu wanaamini
endapo Afrika itakuwa na viongozi wengi wanawake
itakuwa virahisi kwao kupenyeza matakwa yao maana
mwanamke ni mwepesi kushawishika.
Na ndio maana wanatumia nguvu na fedha nyingi ku-
ufadhili ili kufanikisha mpango huu Afrika. Kwa sabab
wanacho kitazama wao si 50% kwa 50% kama sisi
tunavyodhani bali ni Kunyonya Rasilimali zetu zilizoko
Afrika .
Mfano mdogo ni taifa la Malawi baada ya kifo cha rais
BINGU WA MUTHARIKA na mara tu madaraka
kuchukuliwa na Mwanamama JOYCE BANDA
wakapenyeza ushawishi wao na matokeo yake taifa hilo
likatangaza rasmi kuruhusu ndoa za jinsia moja.

Amka mwanamke Wa kiafrika unaposimama NA kusherekea siku ya WANAWAKE DUNIANI jua ni moja ya mtego uliopewa kujisaliti wewe mwenyewe,kuisaliti imani yako,kuisaliti jinsia yako,kuisaliti sayansi ili Wengine washibe kwa wimbo mzuri usiokua NA mwisho Wa HAKI SAWA.

Tiini waume zenu ili mpendwe kama ilivyoamrishwa,endeleeni kujipamba kwa manukato ili muwe mapambo bora ya nyumba.Acheni kutumia vifaa bandia vya kiume ili muupate usawa usiowezekana

Wanaowashawishi kudai usawa kwa mwanaume ndo hao hao wanawaletea vipodozi vya kuunguza ngozi zenu ili muwe weupe kama wao,ndo hao hao wanawaletea vidonge vya kutoa mimba zenu,ndo hao hao wanaowaletea matako ya bandia NA upuuzi mwingine.

AMKA BAKI NA UAFRIKA WAKO KATIKA KILA KITU."Nabaki afrika"
Ebana tangu nijunge humu nimeona thread ambazo zipo conscious ila hii mzee ni mwisho..safi sana mleta uzi umepita vizuri
 
thanks gt i like it usawa pasi na haki ni dhulma iliyowaz kwa wale wenye haki
 
haimaanishi na nyie msitimize majukumu yenu kisa wanawake wanadai haki!

kinachodaiwa ni kuondoa ukandamizaji jinsia moja na sio usawa naturally haipo.
 
Back
Top Bottom