Mwanamke apewe Haki kushawishi (Kutongoza)

Mwanamke apewe Haki kushawishi (Kutongoza)

Mimi leo nimeshawishi wa4 halafu wote wanakubali tuu
Hahaha hao ndio wanaitwa wanaume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mimi wasiwasi wangu ndo huo yaani wanawake wakianza kututongoza mtatutia majaribuni sana alafu wengi wetu hatutaweza kuwakataaa sasa kifuatacho kitakuwa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kwa mila na desturi zetu imezoeleka mwanaume kumfata mwanamke kwa ajili ya kuanzisha mahusiano.

Kwa sasa wanawake wameongezeka sana kwa idadi ikilinganishwa na wanaume. Tumefika pahala kuna wanawake wanalazimika kuparamia waume wa wenzao, hawa tunaowaita michepuko.

Ni wazi sasa tumefika pahala wanaume wameshakuwa bidhaa adimu. Hali hii ikiachwa kuendelea ni wazi vita ijayo ya dunia (WWIII) itakuwa ya kugombea waume.

Kwa sasa japo haijaandikwa au kuelezwa popote ikitokea mwanamke amemshawishi (amemtongoza) mwanamume basi mwanamke huyo hutazamwa kwa jicho tofauti sana na jamii. Atapewa majina yote mabaya unayoyajua wewe. Kwa maneno mengine mwanamke amekatazwa kushawishi (kutongoza)!

Kama suluhisho kwanini wanawake nao wasiruhusiwe kushawishi (kutongoza) wanaume na ikiwezekena waruhusiwe hata kutoa maali kwa familia ya huyo mume ili kuleta usawa na ushindani wa haki.

Wakuu karibuni tujadili bila panic.
Kwamba mkuu unataka kupigwa mistari sasa!? . Na wewe uanze kusema subiri nitakujibu!! Hahah
Korona iishe tu aisee
 
Write your reply...MBONA WAPO MKUU WENGI UZALENDO UKIWASHINDA WAKIKUTEGA WAKIONA UTEGEKI MBONA WANAFUNGUKA TU
 
Wakuu kwa mila na desturi zetu imezoeleka mwanaume kumfata mwanamke kwa ajili ya kuanzisha mahusiano.

Kwa sasa wanawake wameongezeka sana kwa idadi ikilinganishwa na wanaume. Tumefika pahala kuna wanawake wanalazimika kuparamia waume wa wenzao, hawa tunaowaita michepuko.

Ni wazi sasa tumefika pahala wanaume wameshakuwa bidhaa adimu. Hali hii ikiachwa kuendelea ni wazi vita ijayo ya dunia (WWIII) itakuwa ya kugombea waume.

Kwa sasa japo haijaandikwa au kuelezwa popote ikitokea mwanamke amemshawishi (amemtongoza) mwanamume basi mwanamke huyo hutazamwa kwa jicho tofauti sana na jamii. Atapewa majina yote mabaya unayoyajua wewe. Kwa maneno mengine mwanamke amekatazwa kushawishi (kutongoza)!

Kama suluhisho kwanini wanawake nao wasiruhusiwe kushawishi (kutongoza) wanaume na ikiwezekena waruhusiwe hata kutoa maali kwa familia ya huyo mume ili kuleta usawa na ushindani wa haki.

Wakuu karibuni tujadili bila panic.
Kama hujatongozwa na mwanamke mpaka Sasa Basi Kuna sehemu hujakamilika mzee baba[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah! Umenikumbusha kipindi nipo shule niliwahi kutongozwa na demu nikamkataa tena nilimuona wa ajabu, alikuwa rafiki wa demu wangu. Baadae nilikuja kujuta nikaapa siji kukataa demu. Nlipomaliza Form 4 kuna demu akajipendekeza sikuchezea tena hii chance ya kimasihara.

Mademu wanaotongoza wapo wengi tu, hapo mwanzo nilikua naona ajabu ila ni kawaida tu maana na wao pia wana hisia.
Nilikuwa na kidemu fulani hivi nikiwa o level,,Sasa mabinti wengine wakiwa wananiandikia barua(simu hazikuwepo kipindi kile) zile barua nakipelekea kidemu changu,,Kilikuja kunipiga Kibutii yaan sikuamini,,harafu kikachukuliwa na rafiki angu wa karibu,, Tokea kipindi hiko Sijawahi kuishi na kisichana kimoja yaan navipigaga bila huruma,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawajawahi kunyimwa haki hiyo na kwa taarifa yako ni watongozaji wazuri.

Mwanamke akimpenda mwanaume hutumia njia nyingi ili jamaa ajue na alianzishe.

Tatizo ni kwamba ni wanaume wachache wanaweza kusoma hizo signal za niko tayari, we anza tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom