Mwanamke apewe Haki kushawishi (Kutongoza)

Mwanamke apewe Haki kushawishi (Kutongoza)

Hahahah! Umenikumbusha kipindi nipo shule niliwahi kutongozwa na demu nikamkataa tena nilimuona wa ajabu, alikuwa rafiki wa demu wangu. Baadae nilikuja kujuta nikaapa siji kukataa demu. Nlipomaliza Form 4 kuna demu akajipendekeza sikuchezea tena hii chance ya kimasihara.

Mademu wanaotongoza wapo wengi tu, hapo mwanzo nilikua naona ajabu ila ni kawaida tu maana na wao pia wana hisia.
Niliwah kujuta pia mkuu...
Sitarudia tena kufanya huo upuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utandawazi huu utatufikisha Pabaya.

Ukianza kufikiria haya kuyaruhusu kwenye jamii , utaruhusu pia jinsia moja kuoana.

Maadili na tamaduni zetu ziheshimiwe , hasa kwenye hili


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tatizo tukiwatongoza hata hamkatai wakati mnajua hamtupendi au mna watu wenu tayari, inageuka mbuzi kufia kwa muuza supu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom