Mungo Park
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 2,115
- 1,834
Amekupima akaona wewe huenda una tabia za 'control freaks'.. Kama yeye yuko 'comfortable' kwenye hilo vazi, mruhusu tu. Lakini acha huo mfumo wa kuombwa ruhusa hata katika vitu vidogo,unahitaji kupewa taarifa tu.. kumbuka nyie ni 'partners'..