Mwanamke Aomba Ruhusa Ya Kuvaa Suruali

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,668
Girlfriend wangu kanipigia sim! Na kunimbia anaomba ruhusa ya kuvaa suruali. Kilichonishtua ni kwamba sijawah kumuambia vaa hiki au usivae kile. Sasa inakuaje aniambie kitu kama hicho? Au ninategwa jamani! Ukizingatia huyu dem ni kyasaka! Nini hasa lengo lake?
 
yawezekana ht ktk story zenu ulimwambiaga hupendi mwanamke anae vaa suruali na ye labda ndo akajish2kia dats y anakuomba ruhusa kujiami maanake ucje ukamuona kavaa suruali ukampiga kibuti maana nyie nao hamkawii.
 

Sasa si ungemuuliza ni nini dhamira yake kukuomba ruhusa.

Wanaume wengine tuna mambo yani akikuomba ruhusa shida asipokuomba ruhusa shida yaani matatizo mtindo mmoja.
Siku nyingine vitu vidogo kama hivi unavimaliza mwenyewe bhana sio mpaka uanzishe thread.
 
na huyo "demu" wako kazi anayo kwa jinsi ulivyomdharau hapa mmmmh
 
 
Ndio huyo demu wako uliyepania kumuoa kwa nguvu?
 

Mwambie haruhusiwi kwani nguo za kuvaa wanawake wenye heshima si anazijua?Ukimruhusu ipo siku atakuambia avae kimini, kuacha maziwa wazi n.k.Weka msimamo wako mapema.
 
Wakiomba ruhusa mnajiuliza maswali, angekuja kwako na suruali, ungekuja huku tena kulalamika kwamba amebadilika tabia siku hizi anavaa suruali.
Sasa mnatakaje?
au ulishawahi kusifia mabinti wanaovaa suruali?
Kama sio hivyo, hofu ya nini? mwenzio hajataka kukukwaza kwa kuwa anajua baadhi ya wanaume hawapendi wapenzi wao wavae suruali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…