Mwanamke anayekupenda kweli

Ishini nasi kwa akili sio kukariri
Of course lazima tutumie akili, mwanamme anayejitambua akili hawezi ishi na mwanamke asiye na maendeleo. Yaani mwanamke anaamka tu asubuhi hajichambi na kufuta shahawa alizomwagiwa na mumewe usiku anashinda kavaa khanga bila chupi akipita nyumba hadi nyumba kupiga story za umbea, hapigi mswaki, haogi mpaka usiku, muda wote yuko mitaani anasuka umbea na kuchunguza maisha ya majirani zake, huyu lazima utaishi naye kwa akili tu....hamna namna.
 
Kijana anajipa matumaini kutokana na wabebez anaotoka nao.
Eeh ukiwaendea kipesa utaipata ya fresh bora mwanamke akukatae tu live kwa kuwa huna ngawira kuliko kuforce kuwa nae kwa kulipia kama Luku ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…!

Ile feeling tu kwamba sipendwi hapa na hela ikikata ntaachwa naona isiwe tabu wacha nitafte pisi inayonielewa ili inipe maisha bila stress!
 
Huyo mwanamke aniepuke in Jesus name,,can i hear Amen pls!!!
 
Umempata wa kufanana nae, Ni chaguo lako
 
TAFUTA HELA.....wanawake wa dizaini hii hakuna
 
Umemaliza popcorn zangu asee [emoji1787][emoji1787]
 
Huyo mwanamke aniepuke in Jesus name,,can i hear Amen pls!!!
Amen๐Ÿ™.....Kwa kweli kuna baadhi ya kina dada wanakatisha tamaa hata ya kuongea nao. Unakuta mdada hana la kufanya mjini lakini anang'ang'ana tu kubaki mjini ajipatie mume wa mtu wa kumuweka mjini, atamlisha mauza uza mpaka jamaa anakuja acha mkewe na kuishi na mdangaji atakayekuja kunyanyasa watoto wake aendapo kazini. Wanawake siku hizi ni wachafu na wachawi mno.
 
Hahahaha wanawake wa mjini wamelemazwa na wanaume wajinga ๐Ÿ˜… wanaona wana stahili kulipiwa kila kitu wao wabandike kucha na kubadili style kitandani tu!

Swala la kujishughulisha hapana wao wapange kageto walundikane jioni wakawinde wanaume kwenye ma bar makubwa mjini ๐Ÿ˜…
 
Yaani nashindwa kuwaelewa hawa kina dada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ