Mwanamke anayekupenda huwa hivi

Mwanamke anayekupenda huwa hivi

Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli. Mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako kwake.

Hayo mengine kuhusu pesa, outing, shopping na mengineyo unatakiwa kujiongeza wewe kama mwanaume na sio kubweteka na kupendwa, kwa sababu mwanamke wako anahitaji matunzo vilevile.

Anachohitaji mwanamke ni wewe tu na muda wako. Wanawake wameumbwa na moyo 'strong' lakini katika suala la mapenzi na hisia wako 'sensitive' sana. Wanahitaji kupendwa na wanahitaji kuona akijaliwa.

Mwanamke akikupenda kweli kutoka moyoni mwake atahitaji awe na wewe muda mwingi, atakutext mara kwa mara, atakupigia simu every time when she feels she wants to talk to you.

Atakuwa kama mtoto mdogo anayehitaji kupendwa, kukumbatiwa, kubebwa na kutizamwa kwa umakini. Mpende sana mwanamke wa aina hiyo, muda mwingine aweza kuwa anakufuatilia sana mpaka unajiuliza nina 'date' na shushushu ama nini?

Ila unapaswa kutambua kuwa anakupenda kwa dhati na anataka ajihakikishie kuwa yupo peke yake kwako.

Ukipata mwanamke wa aina hiyo tulia, usimuumize wachana na mitambo mingine, utazunguka bucha zote lakini nyama ni ile ile sana sana utamaliza nauli yako na nguvu zako za kuzunguka kila bucha.

Umeongea point. Ila kupata mwanaume wa hivyo, naona mpaka Yesu arudi tena
 
Pole sana mkuu. Ila kuna hali fulani ikifikia hakuna jinsi zaidi ya kusonga mbele na kushukuru m'mungu kwa yote.

Nami pia mkuu. Mambo tu ndio mengi mengi na ndio sababu inayofanya hatuonani.
Emmy rafiki, naomba unieleweshe maana ya m'mungu
naona bashite bashite tu
 
Isee umenikumbusha mbali mtoa post,nilikua nina mtoto mkali wa Iringa aliniganda mpaka nikahisi katumwa,basi nikawa namupotezea tu na kumfanyia visa vya ajabu ajabu…. Alivumilia sana lakini mwisho wa siku alichoka!
Alivyoondoka hata siamini mkuu.
Nasikia sasa hivi ana mimba na pete alishavalishwa huko kwao.
#I miss her lakini ndio hivyo tena samaki hana reverse
eti samaki hana reverse, au boda boda pia haina reverse

hahahahha yaani JF ni kiboko ya vyote
 
Mwanamke akikupenda kweli kutoka moyoni mwake atahitaji awe na wewe muda mwingi, atakutext mara kwa mara, atakupigia simu every time when she feels she wants to talk to you.
I m not getting all this . Mimi ndio hua namsendia msgs talk to her bado kimya . Now i m stopping for long ataleta msg kwa mwezi mara moja halafu ndio sahau kama utapata ingine mpaka awe ma mood nzuri .
 
Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli. Mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako kwake.

Hayo mengine kuhusu pesa, outing, shopping na mengineyo unatakiwa kujiongeza wewe kama mwanaume na sio kubweteka na kupendwa, kwa sababu mwanamke wako anahitaji matunzo vilevile.

Anachohitaji mwanamke ni wewe tu na muda wako. Wanawake wameumbwa na moyo 'strong' lakini katika suala la mapenzi na hisia wako 'sensitive' sana. Wanahitaji kupendwa na wanahitaji kuona akijaliwa.

Mwanamke akikupenda kweli kutoka moyoni mwake atahitaji awe na wewe muda mwingi, atakutext mara kwa mara, atakupigia simu every time when she feels she wants to talk to you.

Atakuwa kama mtoto mdogo anayehitaji kupendwa, kukumbatiwa, kubebwa na kutizamwa kwa umakini. Mpende sana mwanamke wa aina hiyo, muda mwingine aweza kuwa anakufuatilia sana mpaka unajiuliza nina 'date' na shushushu ama nini?

Ila unapaswa kutambua kuwa anakupenda kwa dhati na anataka ajihakikishie kuwa yupo peke yake kwako.

Ukipata mwanamke wa aina hiyo tulia, usimuumize wachana na mitambo mingine, utazunguka bucha zote lakini nyama ni ile ile sana sana utamaliza nauli yako na nguvu zako za kuzunguka kila bucha.
Niulize we ni me/ke!??
Kama ni me umethibitishaje uliyoandika??

Kumbuka: every woman is attached to material. Mjali, MPE mda wako lakini bila pesa, zawadi penzi huisha kama sabuni
 
Na kinyume chake ukiona mwanamke anakudai pesa tu kila kukicha basi naye hakupendi
 
Back
Top Bottom