Eeeh,,,,kuna relationship nipitiaga yanKwa nini tena mkuu. [emoji85] [emoji85]
Kwema kabisa namshukuru m'mungu. Habari ya jumapili?
Kwa wakat huu wa kidigitalMapenz sio pesa ila pesa ni sehemu ya mapenzi.
Ndio zama zimebadilika.Kwa wakat huu wa kidigital
Ndo pesa iko sehem ya mapenz
Triple A
Eeeh,,,,kuna relationship nipitiaga yan
Nlijiona nmefka paradiso Bila hata
Kusali ,,wahenga tu ndo waliharbu kwa
Kusema chenye mwanzo hakikos mwisho
Mzur kabisa kukumis tu ndyo
Mingi
Triple A
Wenyewe wanaita nkwenda na wakatNdio zama zimebadilika.
Kabisa mkuu cha muhimunPole sana mkuu. Ila kuna hali fulani ikifikia hakuna jinsi zaidi ya kusonga mbele na kushukuru m'mungu kwa yote.
Nami pia mkuu. Mambo tu ndio mengi mengi na ndio sababu inayofanya hatuonani.
daaarr ume ongea ki2 kuntu,,, itx strong poit dear,,, waeleze hao wasio jua umuhimu wa mwanamke jinsi anavyo penda,,, umenikoshaa sana,, nikimpata atakaye jali hisia zaNgu nitamganda kama ruba,, lakini nyie waanaume kwenye 200 wapo 9,,, daaarrr hongera sana kwa kulitambua hilo,, ckujua kuwa wapo wanaoume wanao lijua hilo ila ww ni mmoja wapo,,, Big Up my dearSio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli. Mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako kwake.
Hayo mengine kuhusu pesa, outing, shopping na mengineyo unatakiwa kujiongeza wewe kama mwanaume na sio kubweteka na kupendwa, kwa sababu mwanamke wako anahitaji matunzo vilevile.
Anachohitaji mwanamke ni wewe tu na muda wako. Wanawake wameumbwa na moyo 'strong' lakini katika suala la mapenzi na hisia wako 'sensitive' sana. Wanahitaji kupendwa na wanahitaji kuona akijaliwa.
Mwanamke akikupenda kweli kutoka moyoni mwake atahitaji awe na wewe muda mwingi, atakutext mara kwa mara, atakupigia simu every time when she feels she wants to talk to you.
Atakuwa kama mtoto mdogo anayehitaji kupendwa, kukumbatiwa, kubebwa na kutizamwa kwa umakini.
Mpende sana mwanamke wa aina hiyo, muda mwingine aweza kuwa anakufuatilia sana mpaka unajiuliza nina 'date' na shushushu ama nini? Ila unapaswa kutambua kuwa anakupenda kwa dhati na anataka ajihakikishie kuwa yupo peke yake kwako.
Ukipata mwanamke wa aina hiyo tulia, usimuumize wachana na mitambo mingine, utazunguka bucha zote lakini nyama ni ile ile sana sana utamaliza nauli yako na nguvu zako za kuzunguka kila bucha.
sanaa yaan inafika kipindi inakuwa 2 much,, una kuwa mara 2 ya mtumwa wa mapenzEmbu waambie maana wanatutesaga sana tukiwa na upendo wa namna hiyo.
Karibu kwangu nikupatie upendo wa kweli,katika maisha yangu sijabahatika kupendwa jmn sijui nna nin hatadaaarr ume ongea ki2 kuntu,,, itx strong poit dear,,, waeleze hao wasio jua umuhimu wa mwanamke jinsi anavyo penda,,, umenikoshaa sana,, nikimpata atakaye jali hisia zaNgu nitamganda kama ruba,, lakini nyie waanaume kwenye 200 wapo 9,,, daaarrr hongera sana kwa kulitambua hilo,, ckujua kuwa wapo wanaoume wanao lijua hilo ila ww ni mmoja wapo,,, Big Up my dear
umeona eee..!!Hili suala la ukweli kabisa..
ucjal utampataAseeh nikipata anaenipenda nitafanya ivo,
kabisa kuna mademu mpka nawahurumia asee..zaidi akikupenda hua wanaboa.umeona eee..!!
MARUDIO HAYA HUNTERSawa mkuu