Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Anayo basi?Anachoosha sana Dogo.Laki 3 Si angekodi Tax
Anayo basi?Anachoosha sana Dogo.Laki 3 Si angekodi Tax
kasahau ku edit mkuu,usimvae ivo😂😂😂Ngoja nmtolee hyo' happy'naona ndo inaleta shida bt hii kisw-English kibatupa shda sanaSiku ya happy birthday yako ndo kitu gani? Hv uko shuleni uwa mnakwenda kusomea ujinga?
Ni kama anahc hujakanyagq chuo mkuu,ungeandika tu siku ya kumbukumbu yangu ya kuzaliwa,hakuna siku ya happy birth day yako,jarbu ku notise mistake mkuuMbona unacheka?