Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,221
Mbona unacheka?
wana nyege ndo maana wanacheka kwani we mkuu huujui huu ugonjwa unawapata watoto wa kike unaitwa chekacheka
Mbona unacheka?
Ina maana hujatambua kuwa thread yako inachekesha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku ya happy birthday yako ndo kitu gani? Hv uko shuleni uwa mnakwenda kusomea ujinga?
wanaume wengi wamekuwa wakikutana na changamoto ya kuchunwa na wanawake ila nataka niwaambie kitu mwanamke anayekupenda hawezi kukuchuna lazima akujali na kuwa nahuruma na hela yako labda Kama atagundua huna future naye. Mfano mzuri kwenye relationship yangu Mimi nimekuwa na uhusiano na demu mmoja ambaye anafanya kazi benki na Mimi ni mwanafunzi wa chuo huyu msichana hajai kuniomba hela yoyote tokea niwe nae.
Kuna siku moja nilimtoa kidogo out nilikuwa na Kama laki 3 hiv kwaajili ya kuspend Mara nikapata homa ya gafla nikawa sijisikii vizuri ikabidi mpenzi wangu anipeleke hospital na kila kitu alilipa yeye kuanzia dawa mpaka kupima Bila hata kumwambia afanye hivyo baada hapo tukagairisha mtoko wetu ikabidi anisindikize wakati tukiwa kwenye daladala akaniombea sit kwa mtu mmoja cos nilikuwa ninaumwa Sana jamaa akakubali na Wala sikumuomba demu wangu aniombee tukafika stendi ya home kwetu akaniaga anaenda home kwake nikamwambia Basi chukua elfu 10 hii ya nauli akachukua ila hela hiyo hiyo niliyompa akaninunulia matunda na samaki iliyobaki ndo akachukua kurudi kwake.
Nakumbuka siku ya happy birthday yangu alinialika home kwake ambapo alikuwa amepanga chumba kizima na analipa Kodi ya chumba laki moja kwa mwezi akaniandalia msosi wa nguvu ilikuwa ni wali wa maji,mchuzi wa loast ya kuku,nyama ya mbuzi iliyokaangwa,njegele na juice na siku hiyo akanipa zawadi ya saa na rubber.
NB: wanaume tujitahidi kwenye kuchagua wanawake unakuta demu anakuonesha mahaba wakati anataka hela alafu unajisifu unapendwa ebu jiulize Mara ya mwisho mpenzi wako kukufanyia Jambo zuri ni lini? Tuchukue taadhali Mimi japo nina demu mkali lakini demu wangu ananijali na ananipenda na Hana tamaa za hela.
Mtoko wa laki 3 afu mnapanda daladala.
Api basdei tu yuuuuu
Kwani nimekuambia simpi? Ila aniombagi ila ninampa na wakati mwingine anakataa.
Siku ya happy birthday yako ndo kitu gani? Hv uko shuleni uwa mnakwenda kusomea ujinga?
Hongera sana Mkuu kwa kupata Mpenzi anaekupenda ambaye hakuombi pesa, mnafunga lini Ndoa?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Atoto funguka basi
Mkuu, embu nijuze kidogo umesema demu wako amepanga chumba kizima kuna mademu wengine wanapanga nusu chumba? Kingine kuna haja gani ya kusema bei ya pango la hicho chumba na kutueleza umepikiwa chakula gani? mimi naona kama vile una expose mambo yako ambayo hayana uhusiano na riwaya nzuri uliyosimulia.
Endelea kujisifu mkuu ila ipo siku huyo demu wako atachoka kukuhudumia na hutaamini macho yakoKama vile upo kwenye akili nawajua Sana hawa members asilimia kubwa hawajui mapenzi ni nini
Siokwamba me Mario au sifanyi chochote kwa huyu dada na provide kutokana na uwezo niliyonayo lkn pia huyu dada Kuna mambo anafanya kwaajili yangu bila hata me kumuomba kwahiyo unataka nikatae?Endelea kujisifu mkuu ila ipo siku huyo demu wako atachoka kukuhudumia na hutaamini macho yako