Mke ni msaidizi tukumbuke
ila siku hizi wababa loh sio wa kusaidiwa tena ..ni mizigo
Nilifikiri sikuwa sahihi kwa kuikimbia nyumba yangu miaka miwili iliyopita, lakini ulichokiandika hapo kimenirudishia furaha tena. Asante kwa upeo wako mpana.kuna kitu huwa najiuliza kongosho
mwanamke wkend anaenda saluni
kuosha nywele ...3,000
kusuka less wigi....50,000
ka less wig ka kichina....150,000
mafuta yake ya kichina....25,000
kuosha miguu....12,000
kutinda nyusi.....2,500
kubandika kope...12,000
kula na soda hapo saluni.....10,000
tena hii ni saluni ya uswazi kabisa
kwanini wanaume wasihame nyumbani?
Naamini familia inajengwa na watu wote wawili. Si lazima wote muwe na kipato sawa au la...ila kusaidiana katika kutafuta si kitu cha mwanaume peke yake kama mnaitakia mema familia yenu. Tatizo nilionalo mimi ni partners kushindwa kuenda sambamba kwenye level of thinking ya kitu gani kinahitaji kufanyika ili mapato ya familia yaende sawa sawa. Tukumbuke, gharama za maisha zimepanda sana na kama ni mtu mmoja tu anayefanya kila kitu hiyo familia haitakuwa sustainable.
Tatizo lilipo wengi tumeamua kuwa average performers na hatuamini katika kujishughulisha kwa bidii ili kupata kipato cha ziada. haiwezekani kwa mshahara mdogo tu ule, ununue nguo, ujenge, usome watoto kama hutakuwa na bidii ya kufanya ya ziada kuongeza kipato.
issue sio wanawake wanapata sh ngapi ..ila tunazitumiaje? Bora ununue vitu nyumbani mle kulikoni kumwaga milioni saluni kila jmosinilifikiri sikuwa sahihi kwa kuikimbia nyumba yangu miaka miwili iliyopita, lakini ulichokiandika hapo kimenirudishia furaha tena. Asante kwa upeo wako mpana.
BUT ulikuwa huna haja ya kuadhibu familia ivo? hapo unabana matumizi nyumbani unavaa sketi ya laki tatu! umesave nini sasa? tatizo wanawake hela zinatumika kwa mambo ya kipuuzi sana bora tu mtu ale na familiaumenikumbusha siku za nyuma kidogo,( niliolewa wkt nasoma chuo), nilipopata kazi mume wangu aliacha kutoa matumizi ya nyumbani ( japo yy alikuwa na kazi nzuri zaidi na yenye kipato kikubwa kuliko mimi)..
miezi kadhaa ya kwanza nilijitahidi kuhudumia familia kwa kila k2(chakula,nk)..kila nilpomuuliza pesa ya chakula/matumizi alitoa visingizio (ilimradi hana hela) siku moja alisafiri safari ya km wiki moja hivi na akaondoka bila kuacha hata senti...na hapo nyumbani tulikuwa na wtt wetu 2 wadogo(under 5 years) na ndugu zake 3 watu wazima pamoja na msichana wa kazi..
nilichokifanya, nikahakikisha chakula cha wtt wangu kipo(uji, mtori n.k)halaafu nikamnunulia dada mkate nikamwambia sina hela ya chakula kwa hivo ataishi na mkate..(nilifanya hivi ili dada wa kazi asiondoke awalee watt alikuwa dd mzuri) (nilificha akiba kdg ili ht mtt akiumwa niweze kwenda hosp)
kwa kifupi nyumbani kukawa hakupikwi k2, kwa wk nzima, hakukuwa na chochote cha kupikwa, umeme nao uliisha kwa hivo tukawa tunaishi na mishumaa.. siku hiyo mr akarudi ktk safari, ilikuwa usiku, akakuta giza, akauliza mbona giza? hakujibiwa, akaenda kununua umeme, taa ikawaka..
tukalala bila kula chochote(hakukupikwa)..asb tukaamka tukaenda kazini, jioni tukarudi nyumbani, tukalala tena kavu kavu, (hakukupikwa).. tulipofika kitandani akaniuliza hivi hii nyumba siku hizi wa2 hawali chakula? tangu nimekuja sijaona msosi wowote! nikamuuliza, unakumbuka mara mwisho wewe ulitoa pesa ya matumizi (chakula n.k) mwaka gani? swali hilo lilimuingia barabara kwani hakunijibu..
kesho yake nilipotoka kazini, nilikuta friji imejaa vyakula hadi haifungi..mchele umenunuliwa kg 100, n.k ilimradi nyumba ilijaa vyakula kila kona..
nikasema kimoyomyo kumbe unajua kuhudumia familia ee, na kuanzia hapo akajua majukumu yake km baba..
kwa hivo ni kweli mwanamke akishakuwa na kipato, mume anajitahidi kukwepa majukumu yake na kuyahamisha kwa mke au kumtegea..
BUT ulikuwa huna haja ya kuadhibu familia ivo? hapo unabana matumizi nyumbani unavaa sketi ya laki tatu! umesave nini sasa? tatizo wanawake hela zinatumika kwa mambo ya kipuuzi sana bora tu mtu ale na familia
Hapo sasa miye mfagizi ofisini kwetu mwanamke meneja wa kampuni fulani (alianza na u-supervisor pengine). Mshahara wake 900,000 take home...........Miye ndiyo kwanza nimegonga 150,000, nyumbani nina kamradi ka kiosk kanaingiza 3,000 faida kwa siku ambayo ni 90,000 kwa mwezi......Ukijumlisha na mshahara ndio inafika 240,000. Wakati huohuo mke wangu akipiga dili moja kwa mwezi anaondoka na 400,000 jumlisha na mshahara inakuwa 1,300,000.
Gap kama la 900,000.......halafu bado unataka kwenye 240,000 yangu unichinje hela ya saluni, makeup, less wigi khaaa!! Kusema ukweli hapo mimi nitaprovide dushelele tu material things tuchangie in propotion
mimi mwanzoni nilikuwa ninasupport mambo ya mwanamke kutumia hela zake apendavo ...ila kwa ninayoyaona mmmh ...nadhani somo la financial management limetupitia pembeniShosti, kama analipa yeye mwenyewe haina neno lakini sioni sababu ya mwanamme kutokumpa mkewe mara moja moja. Ukifanya hivyo ndio naweza kusema kweli kuwa mwanamme anamtunza mke, lakini siku hizi wanawake wanajitunza wenyewe.
Mimi nina mtu wangu wa karibu aliajiriwa zaidi ya miaka 10 siku moja akaamua kuacha kazi kwa sababu ya watoto. Wakati huo majukukum yalikuwa 50/50, yani pesa ya mume haioni zaidi ya matumizi ya kujenga family. Siku alipoacha kazi jamaa kabeba majukumu yooooooooooote, salun, nguo na pocket money.
In conclusion hakuna mwanamme anaetaka kuonekana anamfuja mkewe, lakini iwapo unafanyakazi anajua utajihudumia tu utake usitake. Lakini kwa huyu asingefanya hivyo walimwengu watajua kuwa jamaa anamchakaza wife.
Mke ni msaidizi tukumbuke
ila siku hizi wababa loh sio wa kusaidiwa tena ..ni mizigo
Nakusubiri...
mimi mwanzoni nilikuwa ninasupport mambo ya mwanamke kutumia hela zake apendavo ...ila kwa ninayoyaona mmmh ...nadhani somo la financial management limetupitia pembeni
ingekuwa wanawake ndo waliachiwa kumiliki uchumi toka enzi sijui kama haya maghorofa tunayoyaona yangekuwepo humu duniani..
tunapenda mashauzi bana ..acha tu
umenikumbusha siku za nyuma kidogo,( niliolewa wkt nasoma chuo), nilipopata kazi mume wangu aliacha kutoa matumizi ya nyumbani ( japo yy alikuwa na kazi nzuri zaidi na yenye kipato kikubwa kuliko mimi)..
miezi kadhaa ya kwanza nilijitahidi kuhudumia familia kwa kila k2(chakula,nk)..kila nilpomuuliza pesa ya chakula/matumizi alitoa visingizio (ilimradi hana hela) siku moja alisafiri safari ya km wiki moja hivi na akaondoka bila kuacha hata senti...na hapo nyumbani tulikuwa na wtt wetu 2 wadogo(under 5 years) na ndugu zake 3 watu wazima pamoja na msichana wa kazi..
nilichokifanya, nikahakikisha chakula cha wtt wangu kipo(uji, mtori n.k)halaafu nikamnunulia dada mkate nikamwambia sina hela ya chakula kwa hivo ataishi na mkate..(nilifanya hivi ili dada wa kazi asiondoke awalee watt alikuwa dd mzuri) (nilificha akiba kdg ili ht mtt akiumwa niweze kwenda hosp)
kwa kifupi nyumbani kukawa hakupikwi k2, kwa wk nzima, hakukuwa na chochote cha kupikwa, umeme nao uliisha kwa hivo tukawa tunaishi na mishumaa.. siku hiyo mr akarudi ktk safari, ilikuwa usiku, akakuta giza, akauliza mbona giza? hakujibiwa, akaenda kununua umeme, taa ikawaka..
tukalala bila kula chochote(hakukupikwa)..asb tukaamka tukaenda kazini, jioni tukarudi nyumbani, tukalala tena kavu kavu, (hakukupikwa).. tulipofika kitandani akaniuliza hivi hii nyumba siku hizi wa2 hawali chakula? tangu nimekuja sijaona msosi wowote! nikamuuliza, unakumbuka mara mwisho wewe ulitoa pesa ya matumizi (chakula n.k) mwaka gani? swali hilo lilimuingia barabara kwani hakunijibu..
kesho yake nilipotoka kazini, nilikuta friji imejaa vyakula hadi haifungi..mchele umenunuliwa kg 100, n.k ilimradi nyumba ilijaa vyakula kila kona..
nikasema kimoyomyo kumbe unajua kuhudumia familia ee, na kuanzia hapo akajua majukumu yake km baba..
kwa hivo ni kweli mwanamke akishakuwa na kipato, mume anajitahidi kukwepa majukumu yake na kuyahamisha kwa mke au kumtegea..
alarm gani mkuu...ila usimwamini mwanaume sio ndugu yako ilo kichwani lipondiyo maana nimeshangaa misimamo yako kwenye huu uzi imebadilika sana.........kumbe alarm imelia kichwani eeh
yaani kaka siku ukija saluni zetu huku mtaani utazimia ..hapo sio kwamba mtu anaenda kwenye party wala nini
Aisee hapana!!! Nilale na mishumaa iwake moto kisa nakomoa mtu?
Na hao watu wazima ndugu zake pia umewashindisha njaa na dada anapewa mikate tu ?!
Anyways tuko tofauti kabisa that's extreme really
Mimi na mume wangu hatujagawana jukumu lolote wala hatuna joint account,
Ila it depends anayetoka jumamosi na vitu vimeisha ndiye anunuaye, anayesafiri mikoani ananunua vya mikoani
Ukipata nje trip, lazima tuleteane zawadi,
Ila chakula cha mbwa na nyama ananunua mwenyewe,
Watoto wote tunakatwa kiwango sawa kuingia kwenye account zao kwaajili ya shule
Mafuta ya gari ofisi inatoa ,matibabu sote tunapata so tumeupgrade kadi moja,
Kila mtu ananunua nguo zake na saloni kila mmoja anajilipia ,
Our cardinal rule is not to live beyond our means
hata ada ya shule naweza kutoa, kwani si ni watoto wangu pia?inategemea na kipato cha mme au cha mwanamke huyo.
Nilichotaka kusema kwenye post yangu ya awali ni 'changanya na zako'
usije ukamkamua mmeo hadi damu wakati uwezo wake waujua.
Mie mme akitoa chakula na malazi na shule ya watoto, vingine wala simdai, atatoa akijisikia.
alarm gani mkuu...ila usimwamini mwanaume sio ndugu yako ilo kichwani lipo
yaani kaka siku ukija saluni zetu huku mtaani utazimia ..hapo sio kwamba mtu anaenda kwenye party wala nini
siku ana party harusi au kitchen party sasa weeee laki tatu kuleeee!
Si heri tu ungempa mumeo amalizie kibanda kule kibada