Mwanamke anayejali na kupenda

Mwanamke anayejali na kupenda

KUNA MKAKA KIPINDI NIMEANZA KAZI NIKAWA NATAFUTA NYUMBA ANA BONGE LA MJUMBA MBEZI BEACH HUKU NIKAMUOMBA ANIPANGISHIE AKAGOMA AKAWA ANANIONA MSHAMBA MADHARAU KIBAO SIJUI UTAWEZA KUNILIPA BLAH BLAH
MUNGU SIO RASHID BOSS WANGU AKANIPA NYUMBA JIRANI YAKE KILA SIKU ANANITONGOZA ANADAI NARINGA SANA
UKIWA NA SHIDA HUPATI MTU
AHSANTE BOSS
 
Wanawake mnaroho ngumu jaman.
Mpeni mapenzi ya kweli kakangu.
Mjue Mungu anawaona
 
Udimwache anayevumilia hali zote hakika
Wako wapi?au napishana nao nini?Niko nao mtaa tofauti?yaani wanawake ninao date nao mimi siku akikuchangamkia either atahitaji hela very soon au umetoka kumgea hela

Aisee Mungu anawaona wanawake mnaroho ngumu sana,wanasema kumuelewa msichana ni ngumu ila kuwa tu na hela utamsoma,mapenzi siku hizi yanamahusiano ambayo ni transaction hupati penzi hadi utoe hamasa huu ni mtazamo wangu 90% japo sio wote ,

kuna haja ya kufanya utafiti wa kina relationship kati na mapenzi na fedha au utajiri na hii sometimes ipo hata kwa wanaume lakini % chache sana
Ukimpata mwanamke anayekupenda kwa hali yoyote na kukujali usimuache!!
 
Mapenzi ya siku hizi hayapimwi hata kwa rula,
Omba yakupige mbizi yasijekubadilika... x2
 
Naona threads nyingi zikizungumzia tabia za wadada wa siku hizi. Unapataje hata muda wa kujadili haya? Because i dont even bother no more. Nikizinyaka nakamata napiga miezi miwili mitatu zikipotea anaondoka napata muda wa kumingle around na kuwa busy na maswala ya msingi. Nikizipata natafuta mwingine. And so forth and so forth
 
Utawaonaje wakati rangi ya jina lako huwa inawapa tabu kila mwezi
 
Back
Top Bottom