wambeke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 2,655
- 2,650
Mkuu niombee tu na ikiwezekana unisadie uwe mshenga, nakuhakikishia sitakuangushaNimependa courage yako pia. I think you can win if utang'ang'ana kwa mahesabu.
Mkuu niombee tu na ikiwezekana unisadie uwe mshenga, nakuhakikishia sitakuangushaNimependa courage yako pia. I think you can win if utang'ang'ana kwa mahesabu.
Maombi yako muhimu mkuu na ushenga pia unaruhusiwaNimekukubali mkuu. all da best
dau pleaaaaseMkuu niombee tu na ikiwezekana unisadie uwe mshenga, nakuhakikishia sitakuangusha
i said dau pleaaase. hakuna kazi ya bure Mkuu. tena ikiwezekana utoe advance kabisaMaombi yako muhimu mkuu na ushenga pia unaruhusiwa
Mkuu njoo Pm tumalizane maana nikitangaza hapa Mwekundu anaweza panda juu afu ukaniacha nalia na majonzidau pleaaaase
Si utani hata kidogoWako wapi?au napishana nao nini?Niko nao mtaa tofauti?yaani wanawake ninao date nao mimi siku akikuchangamkia either atahitaji hela very soon au umetoka kumgea hela
Aisee Mungu anawaona wanawake mnaroho ngumu sana,wanasema kumuelewa msichana ni ngumu ila kuwa tu na hela utamsoma,mapenzi siku hizi yanamahusiano ambayo ni transaction hupati penzi hadi utoe hamasa huu ni mtazamo wangu 90% japo sio wote ,
kuna haja ya kufanya utafiti wa kina relationship kati na mapenzi na fedha au utajiri na hii sometimes ipo hata kwa wanaume lakini % chache sana
Ukimpata mwanamke anayekupenda kwa hali yoyote na kukujali usimuache!!
mwekundu nipo hapa au hunioni??? Nina mapenzi ya dhati na sina tamaa hata kidogo najua kuridhika na hali yeyote ile.
jamani weewesitaki la mafichoni mie, wewe panda dau lako hapahapa, mwekundu akija nitakutonya amesema ngapi halafu wewe uongeze.Mkuu njoo Pm tumalizane maana nikitangaza hapa Mwekundu anaweza panda juu afu ukaniacha nalia na majonzi
Mkuu nikisema dau langu hapa tunaweza kumharibu huyu tunaetaka kuwa nae. wewe njoo PM tumalizane tafadhali.sitaki la mafichoni mie, wewe panda dau lako hapahapa, mwekundu akija nitakutonya amesema ngapi halafu wewe uongeze.
hahahhahahahaha hapa ni dau lililo juu ndilo litatazamwa
haaaa sitaki tena ushenga naona unataka kuleta mambo ya rushwa wewe.Mkuu nikisema dau langu hapa tunaweza kumharibu huyu tunaetaka kuwa nae. wewe njoo PM tumalizane tafadhali.
Sawa Mkuu Ahsante kwa kunikana hadharanihaaaa sitaki tena ushenga naona unataka kuleta mambo ya rushwa wewe.
Rushwa ni adui wa afya mkuu. Anyway ili usiniingize kwenye hili sakata endelea tu mwenyewe.
Kuna mabosi wana roho nzuri.KUNA MKAKA KIPINDI NIMEANZA KAZI NIKAWA NATAFUTA NYUMBA ANA BONGE LA MJUMBA MBEZI BEACH HUKU NIKAMUOMBA ANIPANGISHIE AKAGOMA AKAWA ANANIONA MSHAMBA MADHARAU KIBAO SIJUI UTAWEZA KUNILIPA BLAH BLAH
MUNGU SIO RASHID BOSS WANGU AKANIPA NYUMBA JIRANI YAKE KILA SIKU ANANITONGOZA ANADAI NARINGA SANA
UKIWA NA SHIDA HUPATI MTU
sijakukana ila nimesema ukweli.Sawa Mkuu Ahsante kwa kunikana hadharani
sana mkuuKuna mabosi wana roho nzuri.
Sawa Mkuu maana naona chemba nako umenifukuza. ahsante kwa kuninyanyapaa. ila Mungu anakuonasijakukana ila nimesema ukweli.
ukileta dau hapa mambo yataenda sawa.
hhahahahhahahaha
haaaa ndo umekuja kunisema au?Sawa Mkuu maana naona chemba nako umenifukuza. ahsante kwa kuninyanyapaa. ila Mungu anakuona
Ndio huyo boss anaejua 'siku' zako?!!sana mkuu
hapana mwenye kampuni kabisaNdio huyo boss anaejua 'siku' zako?!!
Mkuu nasikitika tuuuhaaaa ndo umekuja kunisema au?
Aiseee tuseme Amen!!!mwekundu nipo hapa au hunioni??? Nina mapenzi ya dhati na sina tamaa hata kidogo najua kuridhika na hali yeyote ile.