spea mkononi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 348
- 330
we unampata kwa kutumia hela alaf unategemea nn achen ushamba sometymz sie wenyw ndo chanzo
Na support Kabisaaa...jukwaa la wanawake linahitajika kwakweli. Maana kila kukicha tumejaa vidoleni mwao.Kuwe na jukwaa la wanawake!na malalamiko yao kutoka kwa wanaume!
we run the world!!!!!Na support Kabisaaa...jukwaa la wanawake linahitajika kwakweli. Maana kila kukicha tumejaa vidoleni mwao.

Bola uwaambie wenziowe unampata kwa kutumia hela alaf unategemea nn achen ushamba sometymz sie wenyw ndo chanzo
Kwa hiyo unataka kuniambia kila mtu kaumbiwa wake?Tatizo mnatembea na mke wa mtu. Hao wote ulokwishatembea naomba unadhani Mungu alikuumbia wewe tu? Kuna wanaume ambao hao wapenzi wako wanatakiwa kuwajali na kuwapenda, ukipata wa kwako hatakusumbua kabisa.

We sure do kwakweli..and it feels good hahahaaawe run the world!!!!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hilo sio la kuuliza mamyy!!We sure do kwakweli..and it feels good hahahaaa
Muda si mrefu itaibuka thread nyingine...
KUNA MKAKA KIPINDI NIMEANZA KAZI NIKAWA NATAFUTA NYUMBA ANA BONGE LA MJUMBA MBEZI BEACH HUKU NIKAMUOMBA ANIPANGISHIE AKAGOMA AKAWA ANANIONA MSHAMBA MADHARAU KIBAO SIJUI UTAWEZA KUNILIPA BLAH BLAHhahaaaa...!wapo sana sema huwaoni kulingana na namna unavyoapproach
nyie mnataka maduu,wanaojua kuvaa mnaokutana nao maeneo flani 'amaizing'...wanakula baga na eggchops!
Mshawakuta wamependezeshwa tayari...
Kubalini tu matokeo vijana!!
KUNA MKAKA KIPINDI NIMEANZA KAZI NIKAWA NATAFUTA NYUMBA ANA BONGE LA MJUMBA MBEZI BEACH HUKU NIKAMUOMBA ANIPANGISHIE AKAGOMA AKAWA ANANIONA MSHAMBA MADHARAU KIBAO SIJUI UTAWEZA KUNILIPA BLAH BLAH
MUNGU SIO RASHID BOSS WANGU AKANIPA NYUMBA JIRANI YAKE KILA SIKU ANANITONGOZA ANADAI NARINGA SANA
UKIWA NA SHIDA HUPATI MTU
aibu yake mwenyewe!!
ashachelewa!!!Wambeke umenichekesha, aambiwe Mwekundu wewe udakie kuwa ni wako. kwani amewaambia wote au?basi kuanzia leo wewe ni wangu. ila kila ukifanya tofauti nakuonesha hii comment yako
Mkuu watu kama hawa ni Adhimu sana sasa unapoona anajitokeza hadharani kusema hana makuu lazima tufanye juu chini kummiliki sasa mimi ntapambana na na MWEKUNDU katika hiliWambeke umenichekesha, aambiwe Mwekundu wewe udakie kuwa ni wako. kwani amewaambia wote au?
nieleweshe tu maana huenda sijamsoma vizuri.
Nimekukubali mkuu. all da bestMkuu watu kama hawa ni Adhimu sana sasa unapoona anajitokeza hadharani kusema hana makuu lazima tufanye juu chini kummiliki sasa mimi ntapambana na na MWEKUNDU katika hili
Nimependa courage yako pia. I think you can win if utang'ang'ana kwa mahesabu.Mkuu watu kama hawa ni Adhimu sana sasa unapoona anajitokeza hadharani kusema hana makuu lazima tufanye juu chini kummiliki sasa mimi ntapambana na na MWEKUNDU katika hili