Mwanamke anayejali na kupenda

Mwanamke anayejali na kupenda

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,477
Reaction score
21,025
Wako wapi?au napishana nao nini?Niko nao mtaa tofauti?yaani wanawake ninao date nao mimi siku akikuchangamkia either atahitaji hela very soon au umetoka kumgea hela

Aisee Mungu anawaona wanawake mnaroho ngumu sana,wanasema kumuelewa msichana ni ngumu ila kuwa tu na hela utamsoma,mapenzi siku hizi yanamahusiano ambayo ni transaction hupati penzi hadi utoe hamasa huu ni mtazamo wangu 90% japo sio wote ,

kuna haja ya kufanya utafiti wa kina relationship kati na mapenzi na fedha au utajiri na hii sometimes ipo hata kwa wanaume lakini % chache sana
Ukimpata mwanamke anayekupenda kwa hali yoyote na kukujali usimuache!!
 
Dah... Mapenzi na pesa vinahusiana sana...asikudanganye mtu chief...hakuna mwanamke atakayemtaka mwanaume ambaye hawajui wataamkaje asubuhi... Na kama ikitokea basi ujue mwanamke anapesa na anamtumia huyo mwanaume kwa maslahi yake binafsi kwa kisingizio cha mpenzi...kwa kifupi pesa/Mali kwa upande wa mwanaume ni muhimu katika mahusiano. ..huo ndiyo ukweli mchungu
 
hata nyie siku hizi mnataka mwanamke mwenye kipato so pesa ni muhimu acha mbwembwe
 
Pesa ni maua wadau..zikikauka inakuwaje...acheni kuchanganya upendo na pesa...hiyo ni kwa sababu ya udhaifu wa mioyo yenu..upendo wa kweli hauko hivyo.
 
Mapenz ya pesa sio mapenz n kudanganyana tuu hakuna lolote kitu n penzi toka moyon
 
Wako wapi?au napishana nao nini?Niko nao mtaa tofauti?yaani wanawake ninao date nao mimi siku akikuchangamkia either atahitaji hela very soon au umetoka kumgea hela
Aisee Mungu anawaona wanawake mnaroho ngumu sana,wanasema kumuelewa msichana ni ngumu ila kuwa tu na hela utamsoma,mapenzi siku hizi yanamahusiano ambayo ni transaction hupati penzi hadi utoe hamasa huu ni mtazamo wangu 90% japo sio wote ,kuna haja ya kufanya utafiti wa kina relationship kati na mapenzi na fedha au utajiri na hii sometimes ipo hata kwa wanaume lakini % chache sana
Ukimpata mwanamke anayekupenda kwa hali yoyote na kukujali usimuache!!
Tatizo mnatembea na mke wa mtu. Hao wote ulokwishatembea naomba unadhani Mungu alikuumbia wewe tu? Kuna wanaume ambao hao wapenzi wako wanatakiwa kuwajali na kuwapenda, ukipata wa kwako hatakusumbua kabisa.
 
Back
Top Bottom